Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Tungis lilikuwa Basi langu ila siku hizi yamechoka Sana japo bado yanawahi. Ally's na 1 iko poa japo nauli wanasimamia 50
 
Kama factor yako ni kuwahi kufika hakuna bus linalowahi ila yote yanachelewa, nani anitajie gari inayofikia mwanza saa 4 usiku kwa sasa, ikiwa inatoka Dar?.

Hata yanapokuwa yanaenda?

Wewe panda lolote, ila ushauri panda frester maana bado haijachakaa wala hainuki nuki sana.

Kuhusu muda ni ule ule, either saa 5/6 usiku.
 
Kwa tathimmini ya Jumla naona ALLY STAR ameshinda.
Nitachukua hilo
ASANTENI SANA WADAU

Hivi Uzi ukishaisha matumizi unafutwaje??????????????
Kumbuka uwaambie unataka Ally's namba 1 usipande namba 2. Pia uwahi kufanya booking japo siku 2 hadi 3 kabla ya safari ili upate siti nzuri
 
Back
Top Bottom