Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,262
- 111,247
Haya tuko 2021 Dar Mwanza nani mwamba mwenye luxury 2 by 1 inayotamba?
Hii route haina luxury ya 2 by 1 mambo hizo achia gari za dodoma na arusha-Dar. Huku tuna semi luxury za 2 by 2 za kutunza muda. Huku ni shughuri yenyewe ya mguu kiatu.Haya tuko 2021 Dar Mwanza nani mwamba mwenye luxury 2 by 1 inayotamba?
Ok currently nani ameshusha luxury bus za ukweli + huduma nzuri?Hii route haina luxury ya 2 by 1 mambo hizo achia gari za dodoma na arusha-Dar. Huku tuna semi luxury za 2 by 2 za kutunza muda. Huku ni shughuri yenyewe ya mguu kiatu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ally's na happy nation, frester.Ok currently nani ameshusha luxury bus za ukweli + huduma nzuri?
I mean the best company ni ipi?
Huku kampuni hazina mambo mengi best company tuna ievaluate kwa suala la kwenda na muda tu na list ni hii Allys, Tanzanite & Dar lux, Kidia One, Zuberi (Hawa chuma zao ni mpya) . Hao wengine wakina Isamilo, Abood, Kisbo, Alfa, Phoenix ndo hufuata baada ya hilo kundi hapo juu.Ok currently nani ameshusha luxury bus za ukweli + huduma nzuri?
I mean the best company ni ipi?
Usipande KISBO kama una historia ya kutapika maana utatapika mpaka utumbo
Wakuu nishaurini basi gani ni bora, nina safari ya kutoka Dar to Mwanza wiki ijayo.
Ubora naamaanisha COMFORT, SAFETY, BETTER SERVICES etc
Nitashukuru sana kwa msaada nitakaopatiwa.