Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,517
Panda ndege
Kila mtu anamjibu kulingana na basi ambalo amewahi kusafiria au anafahamu kuwa ni zuri, usitegmee angepata jibu moja tu, watu wanasafiri kila siku kwa mabasi tofauti tofauti so wanashare experienceHii JF ya siku hizi hata haieleweki.
mtoa mada ameuliza vizur tu kutaka kujua bus lenye uhakika wa safari ya haraka.
Cha ajabu kila mtu katoa jibu lake tofauti na mwingine yaani kuna majibu 10 tofauti tofauti kitu ambacho kinamconfuse mtoa mada hata hajui ashike lipi?
Kila mtu anamjibu kulingana na basi ambalo amewahi kusafiria au anafahamu kuwa ni zuri, usitegmee angepata jibu moja tu, watu wanasafiri kila siku kwa mabasi tofauti tofauti so wanashare experience
You are so right about Ally's [emoji122] niliwahi kupanda hili basi kutoka Dar, saa 4 usiku niko Nata Mwanza limeingia la kwanza kabisa.Mkuu habari
Kama bado haujapata muafaka nakushauri na mie
"Panda Ally's star hautajuta sema unatakiwa uwahi kukata ticket mapema zaidi maana hizo bus zinapendwa na wafanyabiashara"
Zikitoka Dar to mwanza zinaanza zenyewe na kutoka Mwanza kuja Dar hivyo hivyo
Ukikosa tafuta Tungi's
SATCO..
Wapo vyema
Akipanda hilo anafika Mwanza kesho yake SAA tanoAiseee hamna aliyesifia dar lux. Ama kweli ukichokwa umechokwa