Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Uhakika wa kufika chukua Zuberi semi luxury na Isamilo semi luxury.
Mengine wana mabasi mazuuuri lakini hamna kitu. Ally's na Dar lux wanasumbua sana njian kwa maana ya matengenezo na kuchemsha.
 
Bora umeshajua Dar Lux ni kimeo. Kimeo kingine ni Najumnisa. Kamata Isamilo hautajuta.
 
Hii JF ya siku hizi hata haieleweki.
mtoa mada ameuliza vizur tu kutaka kujua bus lenye uhakika wa safari ya haraka.
Cha ajabu kila mtu katoa jibu lake tofauti na mwingine yaani kuna majibu 10 tofauti tofauti kitu ambacho kinamconfuse mtoa mada hata hajui ashike lipi?
 
Habari wakuu.

Nina safari ya kwenda kanda ya ziwa, Mwanza wiki ya mwisho ya mwezi huu.

Naomba kufahamu basi nzuri Luxury njia ya Dar es Salaam Mwanza ambayo ina uhakika wa kufika siku hiyo hiyo na halina huduma za kiswahili.

Naomba msinitajie Darlux maana kuna mwaka waliniharibia ratiba zangu, Mwanza tukaondoka sa 5 asubuhi.

Ahsante.
DarLux hovyo sana sisi tuliondoka saa 5 badala ya saa 12 asubuhi halafu basi bovu
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Hii JF ya siku hizi hata haieleweki.
mtoa mada ameuliza vizur tu kutaka kujua bus lenye uhakika wa safari ya haraka.
Cha ajabu kila mtu katoa jibu lake tofauti na mwingine yaani kuna majibu 10 tofauti tofauti kitu ambacho kinamconfuse mtoa mada hata hajui ashike lipi?
JF imejaa wahuni wa SACCOSS ya kaskazini
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
Anzisha uzi wako kwani nani kakwambia hapa tunahitaji mahindi?,mtu anauliza basi wewe unaleta promo za mahindi ,kawaambie boda boda pale Mfaranyaki hawana kazi na wapo wengi.
 
Happination mpango mzima,dar lux wanasubir sana
 
Back
Top Bottom