Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

Labda mambo ya gereji
Watanzania tumejaaliwa kuhoji vitu visivyokuwa na mashiko, oooh..! Glasi moja ya maji...!
Kwani JPM ameanza leo kunywa maji hadharani, angalia video ya Mh. TAL akiongea na press kuhusu ban ya kampeni, alikuwa anakunywa maji pia, au nayeye ni gereji/.?
 
Ila kampeni zinazeeaha haraka mbona kwa kikwete hali ya mgombea haikuwa hivyo
 
Watanzania wangekuwa na imani na maccm wasingetaka uwazi kwenye Uchaguzi na kura kuhesabiwa hadharani.


1601746372742.jpeg


Endeleeni kulisha watu maneno, ila mwisho wa siku maboksi ya kura yataongea tu, watanzania wana Imani na CCM na watamchagua Magufuli.
 
Magufuli anaonekana ni shida ya miaka 10
Kwa wasiomwelewa. Maendeleo ya vitu yataleta maendeleo ya watu, watakao tawala baada ya matunda ya maendeleo ya vitu vya magufuli wataonekana watawala wazuri, kwa kuwa watafanikiwa kupitia miundo mbinu kuboresha maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom