Zanzibar 2020 Kampeni za CCM 2020: Magufuli, Mwinyi kutikisa Zanzibar tarehe 03 Oktoba katika viwanja vya Mnazi Mmoja

Leo mgombea urais wa CCM Dr Magufuli anafanya mkutano mkubwa wa kihistoria wa kampeni Zanzibar ambao utaisimamisha Unguja.

Kadhalika vijana wenye mafanikio makubwa ya kisanii na kiuchumi ambao ni makada wa CCM Diamond, Kiba na Harmonize wataeleza namna serikali ya Rais Magufuli ilivyowapaisha kimafanikio.
Mkutano utakuwa mubashara kwenye luninga zote maarufu nchini na mitandaoni.

Up dates;
 
Safi sana JPM. Tuyaache maropokaji yaendelee kuropoka maana hizo ndio uchafu zilizopo kichwani mwao yakijua hayashindi.

Watu wenye akili kama akina Mnyika walishasoma alama za nyakati wakakaa kimya.

Hawa wehu wengine wanapita kwenye mafanikio ya CCM kisha wanaendelea kutukana
 
Hajachoka bado? maana wenzake wako hoi
Lissu1.JPG
 
Leo mgombea urais wa CCM Dr Magufuli anafanya mkutano mkubwa wa kihistoria wa kampeni Zanzibar ambao utaisimamisha Unguja.

Kadhalika vijana wenye mafanikio makubwa ya kisanii na kiuchumi ambao ni makada wa CCM Diamond, Kiba na Harmonize wataeleza namna serikali ya Rais Magufuli ilivyowapaisha kimafanikio.
Mkutano utakuwa mubashara kwenye luninga zote maarufu nchini na mitandaoni.

Up dates;
Tamasha jingine hiloo sasa linafanyikia Unguja na mgeni rasmi ni magu, watumbuizaji ni Diamond, Harmonize na wengine.
 
Sie tulishashinda zamani..hiki ni kipindi cha kusherehekea ili tusiharibu utaratibu wa NEC..baada ya tarehe 28.10 tutakuwa bize na kuifanyia maajabu tanzania phase ya pili.
 
Mwambieni vile vitisho vyake awe ameviacha pale Terminal I kama amekuja kwa ndege lakini huku asitutishe!

Halafu CCM mngekuwa mnatumikia akili wala msingekuwa mnaingia gharama kubwa Zanzibar manake, mkienda Pemba kwa mfano, hata Mama Janneth awe ndo mcheza shoo kwenye hizo fiesta zenu, bado hamtapata kura!!!

Mngekuwa tu mnapanga mikakati ya kuiba kura na kubadilisha matokeo kuliko kupoteza muda na pesa za kuwaleta akina Diamond!!!
 
Leo mgombea urais wa CCM Dr Magufuli anafanya mkutano mkubwa wa kihistoria wa kampeni Zanzibar ambao utaisimamisha Unguja.

Kadhalika vijana wenye mafanikio makubwa ya kisanii na kiuchumi ambao ni makada wa CCM Diamond, Kiba na Harmonize wataeleza namna serikali ya Rais Magufuli ilivyowapaisha kimafanikio.
Mkutano utakuwa mubashara kwenye luninga zote maarufu nchini na mitandaoni.

Up dates;
Leo tupo na King Kiba stejini
 
Safi sana JPM. Tuyaache maropokaji yaendelee kuropoka maana hizo ndio uchafu zilizopo kichwani mwao yakijua hayashindi.

Watu wenye akili kama akina Mnyika walishasoma alama za nyakati wakakaa kimya.

Hawa wehu wengine wanapita kwenye mafanikio ya CCM kisha wanaendelea kutukana

Leteni hoja sio taarabu
 
Sie tulishashinda zamani..hiki ni kipindi cha kusherehekea ili tusiharibu utaratibu wa NEC..baada ya tarehe 28.10 tutakuwa bize na kuifanyia maajabu tanzania phase ya pili.
NEC wameshawaambia kuwa mmeshinda kumbe!
 
Back
Top Bottom