Kampeni ya kuikataa Vodacom

Nimawazo yako tu, vodacom hawausiki, Ni mitambo kutoka Israel, hata email wakiamua kudukua watadukua tu

nimeshaivunja line yangu ya voda kwa nyundo sasa hivi baada ya kuhamishia namba zote kwenye mitandao mingine.
 
Ningefurahi sana kama wote tunao miliki line za VODA tungefanya kama wewe hapa, of course mi nimeisha fanya ivyo, mambo yote yapo line zingine, VODACOME tupilia mbali kule. Hawaheshimu privancy za watu na sisi tuwaadhibu kwa njia hiyo tu, period
Yangu imeshageuka kuwa majivu. Inakera Sanaaaaaaa. Kilangila.
 
By dr. Remmy: kifoooo, kifooo kifoooo kifoooo kifo Hakina huruma, ....tulikuwa na vodacom, ilifanya vizuri sana , ukaja weee vodaccm kifo ndio kimekuchukua, voda kwa heriii, kumbe mnatudukua
VODACCM Tulikupenda, lakini Israili Mtoa Roho amekupenda zaidi. Tangulia kuzimu ukalale mahali pabaya peponi. Kilangila.
 
Misingi ya biashara inataka biashara iwe na loyalty kwa wateja. Si kwa viongozi wa kisiasa.

Hususan kama hakuna sheria za kuishurutisha biashara.

Ndiyo maana akili kubwa ya uongozi wa Jamiiforums imeshurutishwa na serikali kutoa habari za wanajamiiforums, ikakataa na kupigania haki ya faragha za wanajamiforums mpaka mahakamani.

Kwa ujinga huo unaosema, watu wanaweza kuona Vodacom si kampuni yenye kutunza faragha za wateja wake,wakahama, biashara ikafa.

Leo nimeona watu washaanza kampeni ya kususia Vidacom.

Sasa hapo hao CCM watafaidika vipi?
 
halafu vitu vingine tusipangiane maana hatusaidiani kununua bando 😀
 
Inasikitisha sana...

Kama ni hivyo basi, sii TCRA wala Polisi watakothubutu kuchukua hatua zozote...



Cc: mahondaw
 
Kuna kamchawi kameloga watanzania,hivi tukakemee vipi ?
 
Mimi voda nimetoka sababu ya bando tu.
Jamaa wanalitafuna bando kama hawana akili nzuri..
Yaani unakuta nina Gb 1 lakini nadownload kitu cha mb 700 bando linakata...
Wakati nikitumia mitandao mingine Gb 1 hio hio nafanya mambo mengi tu..

Halafu mabundle yao gharama sana
 
We naye ni mjinga mwingine. Kwani celtel siilikuwa imeshauzwa kwa ZAIN na ZAIN akaiuza kwa Barti Airtel? Nchi ilivyofatilia haki zake haijapata?


Kabla huya bisha share zote za makampuni ya Tanzania na Watanzania sio siri na zimeuzwa Rostam 35% sasa ubishi kwa facts gani au ushabiki tu. Wanunuzi wanajulikana na kampuni imeshauzwa. Kama CCM walikuwa wamiliki tuonyesheni kodi waliolipa au share walizouza na kwa nani?
 

Povu la nini mtoto wa kike, kama hutaki/uhungi mkono kampeni yake au unaona haina mana wewe unaumia nini? Pita kimya mwache na kampeni yake. Je lazima kuunga mkono kila jambo?
 
embu wape vodacom neno moja plz .... namba zao za customer care hizo hapo juu kwenye picha
 
Hila kwa sasa hivi ukitaka kuua biashara ya mtu wewe sema ina ushirikiano na fisiemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…