LABDA TAMKO KUTOKA JUU...
KUWAJIBIKA KUNAMPASA KABISA
hakuna mtandao unao linda ....siri za mwana nchi mkuuNi fursa adimu kwa mitandao mingine kujitangaza kwamba wao wanalinda siri za wateja.
inaonekana upo nyuma sana ktk issues za international affairs.Mambo ya kudukuliwa yanafanyika kwenye system za serikali makini kama Marekani, sembuse company kama vodacom. Achana vodacom ifanye kazi kwa mujibu wa sheria.
Voda ni kama maji! Usipoyanywa utaoga!
Watanzania wa natumia mitandao kulingania na huduma zao, kwa akili yako unafikiri kuna watanzania wangapi wataacha voda sababu ya huu ujinga wenu wa siasa? Yani eti kwa vile Membe au Nape kadukuliwa basi sitymii voda?
Uijinga mtupu. Hata mnaocoment hapa hakuna hata aliye acha hiyo laini
Sheria gani we nae?
Vipofu Na Mabubu Naona Mnapeana Ushauri
Kwa kuwa vodacom wameamua kutumia tabaka dhalimu la watawala badala ya kufanya biashara...
Na kwa kuwa vodacom wameamua kuwa sehemu ya mhimili huo wa uovu...
Na kwa kuwa sasa ni dhahiri wanashiriki kusaidia raia wema kufuatiliwa mawasiliano yao na kufanyiwa uhalifu na vyombo dhalimu vya dola...
Nimeamua kuungana na watanzania wazalendo walioamua kususia bidhaa za vodacom na hivi natangaza rasmi kuivunja vipande na kuichoma moto line yangu ya Vodacom ambayo nimekuwa nikiitumia tangu mwaka 2002.
Nimewaachia salio la Shilingi 0.56 kwenye akaunti yangu ya m'pesa...wale wafaidi.
May the unscrupulous and evil dogs of Vodacom go to hell and burn among the rocks!
Shubaaamit!
Nilishaitia kiberiti toka Juzi. Wasenge Sana hawa.Kwa kuwa vodacom wameamua kutumia tabaka dhalimu la watawala badala ya kufanya biashara...
Na kwa kuwa vodacom wameamua kuwa sehemu ya mhimili huo wa uovu...
Na kwa kuwa sasa ni dhahiri wanashiriki kusaidia raia wema kufuatiliwa mawasiliano yao na kufanyiwa uhalifu na vyombo dhalimu vya dola...
Nimeamua kuungana na watanzania wazalendo walioamua kususia bidhaa za vodacom na hivi natangaza rasmi kuivunja vipande na kuichoma moto line yangu ya Vodacom ambayo nimekuwa nikiitumia tangu mwaka 2002.
Nimewaachia salio la Shilingi 0.56 kwenye akaunti yangu ya m'pesa...wale wafaidi.
May the unscrupulous and evil dogs of Vodacom go to hell and burn among the rocks!
Shubaaamit!
sasa sio wao waliofanya hivyoIshu sio mitambo kosa ni kuvujisha taarifa za watu public ni kukiuka Sheria za faragha ambapo wasipokuwa makin kukubali kuwafurahisha washamba wataishia kuburuzwa mahakamani na kulipa watu pesa mingi.
NImesema sina muda wa kujadiliana na watu wa aina yako! Nilidhani ni muungwana vinginevyo nisingepoteza hata huo muda kuandika post yangu ya kwanza kwako!
😂😂😂😂Ngoja nikaandike ulozi sijui wataunga na uzi gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa sio wao waliofanya hivyo
hawa wametokea TCRA
jamani ingekuwa kuna uhuni huo tungesikia siku nyingi watu wakidhalilishana na kushikana ugoni