Kampeni ya kuikataa Vodacom

Nchi hii mambo mengine inaendeshwa kihuni, walianza kwa kumjegea hofu CEO wao, wakamfungulia mashitaka ya kihuni , ili baadae wakamilishe nia yao ovu.
 
Hata wafanyakazi wao syo waaminifu, ukiwa na mchepuko na kama mkeo anamjua mtu voda wanachepusha mawasiliano yako hasa huyu dada mwenye namba inayoishia 132
Eeeeehhh
 
Vodacom nawapendea kwenye kasi ya internet wako vizuri, lakini hawa jamaa wana vifurushi ghali sana watu "wanapitiamo" humohumo.
.
Huu ni muda muafaka kwa Tigo kuchanga karata zake vizuri wawe na strong network kila sehemu na upatikanaji internet kila mahala watawapiku Vodacom kwa sabab hiki ndicho kinawafanya Voda kuwa na watumiaji wengi.
.
Khaly
 
Napokea kwa unyenyekevu... Natambua nimekuudhi lakini ni vema kubalance story... Kila kitu kina pande mbili...
kaka mshana.nakuheshimu sana. naweza kukutajia watu ambao naweshimu wwe ni mmoja wapo. nakuheshimu kwa mchango na knowlege yako. nimesoma vya kutosha lakini ......
itoshe tu kusema NAKUHESHIMU KAKA MSHANA
 
kaka mshana.nakuheshimu sana. naweza kukutajia watu ambao naweshimu wwe ni mmoja wapo. nakuheshimu kwa mchango na knowlege yako. nimesoma vya kutosha lakini ......
itoshe tu kusema NAKUHESHIMU KAKA MSHANA
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji848][emoji848]
 
Aise mimi nina line nne lakini ikitokea kuna line natakiwa niache kuzitumia na nizitupe basi katika line ambayo siwezi kuiacha wala kuitupa ni ya Vodacom kwa sababu kwanza kabisa mimi naipenda na naitumia sana M Pesa katika miamala yangu pili ndo line niliyosajilia Sim Banking na sitarajii kusajilia line nyingine

Yaani Vodacom huwa nawakubali tu kwenye huduma ila vifurushi vyao ni ghali sana na MB au GB huwa zinaisha haraka sana hivyo huwa siitumii sana kwa ajili ya mawasiliano wala mtandao lakini kamwe siwezi kuacha kuwa mteja wa Vodacom kwa namna yoyote ile yaani kuwa tu mteja wa mtandao mkubwa kama Vodacom kwangu ni fahari na heshima kubwa
 
Halafu mtu anahama vodacom kwa sababu ya kuogopa kudukuliwa wakati kutwa anaongea na bibi yake wa kijijini na wauza kuku sasa hapo udukuliwe ili watu wapate nini?
Kuna umuhimu wa kutoa elimu juu ya somo la udukuzi hapa JF..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…