sheria kwani inataka kuachiwa kwa clips za maongezi za watu waliodukuliwa?,Vipi kuna kesi mahakamani baada ya kudukua hao wanaohatarisha usalama wa nchi?Unahis tigo ,airtel ,halotel hakuwez ingilika mkuu,..ni vile tuu watumiaj walikua voda...kokote kambi,wazeiya wanaingia kokote kule wakitaka....kama mnahatarisha usalama wa nchi wafanyeje sasa
Vodacom walivyo mtendea kabendera siyo sahihi kabisa.why?
Nyumbu ni wale wanaotetea matendo ya kishetani ya mfalme kama vipofu na viziwi ila hali wana macho na masikio.Kwa kampuni kubwa kama Vodacom haya ni mapito tu,,wabongo wengi akili za nyumbu,
Kachero m-bobezi alisema hivi.....
Hii hapa chini ni tweet ya Mbunge Halima Mdee ikiwa ni miongoni mwa tweets nyingi za watu maarufu wanaokusudia kuacha kutumia mtandao wa Vodacom:
Nimekuwa Mteja wa VODACOM kwa MIAKA zaidi miaka 10!! Najua nitaathirika kimawasiliano pale nitakapo SITISHA matumizi ya NAMBA yangu!! Lakini kwa HAYA yanayoendelea, NIKO TAYARI KUJIONDOA VODACOM!!!Tususie BIDHAA za WAKANDAMIZAJI!!!
kama ni utoto , akili yako imepitiliza. Huwezi kuikimbia sheria hata uende wapi, ukitaka kuikimbia sheria jitahidi uitii na kuiheshimu.
Aiseeee....!!??why?
Voda wasipuuze meseji za hivi,wayafanyie kazi malalamiko ya clientVoda ni mzizi uliojichimbia chini zaidi ni wachache sana mtakaosusa
Kwenda huko!Wewe utaRIP VODACOM Tanzania utaiacha juu kileleni. Halafu watumishi wa umma ni 500,000 tu. Sijui una data za idadi ya watuamiaji wa simu nchini?