Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

Said mwema kastaafu au naye kapigwa chini kwa nguvu kama boss wake Nchimbi?
Kila la kheir kwa aliyetoka na aliyeingia.
 
Hongera Kamanda Mangu. Mungu akupe hujasili wa kutenda kazi yako kitaaluma. Usikubali akina Nchemba wateke akili yako kama mwenzako aliyekutangulia walivyomuweka mfukoni.
 
Hongera zake IGP MANGU lazima tumpongeze manake cku hz Bongo ukipata CHEO ni kuula pipo wanafanya hadi Sherehe kupongezana Manake sio Utumishi tena! Naomba anaefahamu utendaji kz wake atuhabarishe ili tumjue Binafsi ctaki CV manake wenye maPANFLET ya CV ndo wameua hii NCH Reccord ya KZ yake ndo itanishawishi nimkubali,,,!
 
Tumeshasahau kuhusu udini naona JK ameanza kuuchokonoa tu! Hivi huyo Naibu IGP ni wa nini? Huu ni udini tu unaomsumbua huyu Rais wetu aliyevunja record ya kupanda Ndege nyingi na mara nyingi sana lakini hajui hata Blackbox ni nini.
.
Mkuu nao umeona mbali, hiki cheo cha naibu kinamsaada gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi. Hivi sijui huko magogoni anafanya kazi gani?
 
Mwema tunashukuru kwa utumishi wako,pumzika,tumuone E.Mangu atatufikisha wapi.Hongera E.Mangu.
 
Huyu alikuwa mpambe wa saidi mwema.uteuzi huu umefanywa na mwema hakuna jipya.ila wanyaturu hongereni.
 
Tumeshasahau kuhusu udini naona JK ameanza kuuchokonoa tu! Hivi huyo Naibu IGP ni wa nini? Huu ni udini tu unaomsumbua huyu Rais wetu aliyevunja record ya kupanda Ndege nyingi na mara nyingi sana lakini hajui hata Blackbox ni nini.

Obviously kuna wenye utind.ia ubongo kama wewe wasioweza fikiria zaidi
ya udini??
Khaaaaa mpaka inatia kichefuchefu!
 
yaleyale tu yaliyokunywa uji wa mgonjwa hakuna cha pongezi hapa.Naibu kamishna what for? kama ilikuwa lazima si bora naibu angekuwa kamishna wa zanzibar?
 
Tumeshasahau kuhusu udini naona JK ameanza kuuchokonoa tu! Hivi huyo Naibu IGP ni wa nini? Huu ni udini tu unaomsumbua huyu Rais wetu aliyevunja record ya kupanda Ndege nyingi na mara nyingi sana lakini hajui hata Blackbox ni nini.

Obviously kuna wenye utind.ia ubongo kama wewe wasioweza fikiria zaidi
ya udini??
Khaaaaa mpaka inatia kichefuchefu!
 
Mapendekezo ya Kamati Ndogo ya Bunge iliyoundwa mujibu wa Kanuni ya 117(18), ya Kanuni za Kudumu za Bunge ambayo iliongozwa na Mh. James Lembeli inaendelea kuwatafuna baadhi ya viongozi waliosababisha huzuni na masikitiko katika jamii kuhusiana na zoezi la Tokomeza Ujangili.

Huyu IGP alitakiwa awe ameondolewa muda mrefu katika wadhifa wake lakini hata hivyo, waswahili walisema, chelewa lakini ufike.

Nitashangaa kama Mkuu wa Majeshi (JWTZ) naye atawajibishwa kama ilivyofanyika leo kwa IGP.

Yangu Macho na masikio.
 
Back
Top Bottom