fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Je katiba inaruhusu cheo cha Naibu IGP?? au ni kubalance dini???? kwa kuwaumiza waTZ ambao serikali yao haina dini??? Naibu wa NINI???<br><br type="_moz">
Je katiba inaruhusu cheo cha Naibu IGP?? au ni kubalance dini???? kwa kuwaumiza waTZ ambao serikali yao haina dini??? Naibu wa NINI???
DCI si alikuwa Isaya Mngulu?
Nani ka kuambia. Mangu ni mtu wa moshi?hio damu ya singida mnyaturu in Natureule upanga wa dhahabu anaenda nao Moshi?
Hakipo Mkuu!HICHO CHEO KIPO KIKATIBA?? Naibu IGP???naomba ufafanuzi
DCI hakuteuliwa Ndg Mungulu?
"Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi," hii nafasi inaumuhimu gani katika ufanisi wa jeshi la Polisi...!?
Ablrahaman ndo kaula. Tangu uhuru hamna hiyo kitu. Labda ni kuweka usawa wa kidini. Inabidi huyo naibu afanye kazi kubwa ya kummonitor boss..hahahaaaa....!!!!
hapo hakuna cha usawa wote ni wasilamu, mdogo wake na Ernest mangu ni rafiki yangu fika, anaitwa Juma Mangu yuko mwanza na anafanya kazi Idara ya maji.
Si tulisikia kuwa IGP - Msataafu Said Mwema kaongezewa miaka 2?? Ilikuwa zuga??
Kama ni kwa kigezo hiki ulichosema...basi atakuwa Rais asiyefaa kwa kuteua viongozi wa nchi kwa kuzingatia dini zao. Ninafikiri Rais hawezi kufanya hivyo, kwani hawezi kukubali kuwa rais asiyefaa.Nadhani president ameangalia lile suala lake la udini akajifanya ame-balance.
Lakini tukirudi Nyuma...Mwinyi (Rais wa awamu ya pili) alimteuaA. Mrema( Mb) kuwa Naibu waziri mkuu...!Na inasemekana Mrema analipwa masurufu ya nafasi hiyo ya Unaibu waziri mkuu. Swali, Je.Mwinyi Alikiuka Katiba?Nazani nafasi ya IGP imetajwa katika katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kipengele cha jeshi la polisi Tanzania, lakini hakuna nafasi ya naibu IGP na ni huyu huyu JK (Rais wa JMT) aliyeapa kuilinda katiba yetu lakini pia ndiye huyo huyo anakuwa mbele kuanza kuivunja katiba aliyoapa kuliinda, kuitetea nk kwa sababu ambazo hazina maana yoyote ya msingi.
....