Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

DCI hakuteuliwa Ndg Mungulu?
Itabidi Polisi waangalie namna wanavyogawa vyeo vyao kwani vinachanganya. Uko sahihi ingawa iko hivi:

CP Mango aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Intelijensia ya Jinai, kwa Kiingereza wao Polisi wanaita Director of Criminal Intelligence. CP Mngulu akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa UChunguzi wa makosa ya Jinai na kwa Kiingereza wanaita Director of Criminal Investigation.
 
mbona kama mhindi???? Kama kweli basi tanzania ni moja.
 
"Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi," hii nafasi inaumuhimu gani katika ufanisi wa jeshi la Polisi...!?
 
Ernest, Mungu Mkubwa, ni zamu yetu kwa kweli.
Ila jamaa walivyo wadini bado wametengeneza Title Mpya na Kumpa Abdularahman, Lol

Mkuu zamu kivipi? Nadhani na wewe ni mdini kama jk. Ishu tunataka mtendaji kazi mwaminifu hata kama atatoka kwenye dini moja miaka yote au hata atako kwa wasio na dini miaka yote
 
.
Mkuu nao umeona mbali, hiki cheo cha naibu kinamsaada gani zaidi ya kuongeza gharama kwa mlipa kodi. Hivi sijui huko magogoni anafanya kazi gani?

Jeshini yupo mnadhimu mkuu wa jeshi, ambae ni cheo cha pili na msaidizi wa CDF. Nafikiri nako polisi wanataka kuadopt mfumo huo!
 
tungeenda mbali kwa kuchambua Cv yake na kalinganishwa nani na kumpata mtu bora asije akawa kama hawa waliomtangulia wanaunda tume lakini hawatoe matokeo ya kitu walichokichunguza mfano ni huyu kamanda chagonja haliingia Arusha kwa Mkwara lakini halitoka harusha kimya kimya kwa sasa nasikia kuwa tateuliwa kwenye operation ya morogoro
 
...mwema kafukuzwa kwa kuharibu,bado mwamunyange,nae aondolewe haraka....
 
Ernest, Mungu Mkubwa, ni zamu yetu kwa kweli.
Ila jamaa walivyo wadini bado wametengeneza Title Mpya na Kumpa Abdularahman, Lol

Ni zamu yenu? Watu gani? Daa, aisee watu ni wadini sana.
 
Bado siamini kwamba IGP lazima au mjeshi-polisi... Nadhani IGP alitakiwa au general leader/Administrator and probably D-IGP ndiye au mjeshi kweli.
 
Uteuzzi huo umetolewa sasa hivi kuwa IGP Mpya ni Ernest Mangu na anachukua nafasi ya Said Mwema. Kabla ya Uteuzi huu wa leo kuwa IGP, Kamanda Mangu aliteuliwa wiki chache zilizopita kuwa Mkuergenzi wa Intelijensia ya Jinai (Director of Criminal Intelligence) na sasa anakuwa IGP.

Aidha Kamishna wa Polisi Abdulrahmani Kaniki ameteuliwa kuwa Naibu IGP cheo ambacho ni kipya ndani ya Jeshi la Polisi.

HICHO CHEO KIPO KIKATIBA?? Naibu IGP???naomba ufafanuzi
 
Ukifuatilia siasa za TZ IGP akiwa kutoka upande mfano wa Christian waislamu wenye msimamo mkali kila jambo likiwatokea wanasema waneonewa. It is good kuwaonyesha kwamba ni taifa tu!
 
Bw Abdulrahaman O. Kaniki ni msomi mkubwa wa sheria. Mwalimu wangu wa sheria chuo kikuu na ktk semina mbalimbali.

Kikwete umecheza ktk uteuzi

siku hizi kigezo cha usomi/kumiliki degree kadhaa ktk teuzi na nafasi mbalimbali za kitaifa sio kigezo cha ku kupima ufanisi wa mtu.tumpe mda na tuje tupime utendaji wake after certain period of time in service if it's below the standard,within or above the standard.chukulia kwa mfano mtu kama prof. maghembe,na usomi wake wote bado emeonekana ni underperformer.
 
Safi sana hongera IGP mangu,cha kuzingatia ni kutenda haki bila upendeleo
 
hongera ! Tunategemea kwamba utaondoa vitu vyote vyenye ncha kali pale makao makuu ya polisi , maana vimedhuru wengi sana ! usisahau kumshughulikia KAMUHANDA hatujasahau kifo cha mwangosi .
 
Je katiba inaruhusu cheo cha Naibu IGP?? au ni kubalance dini???? kwa kuwaumiza waTZ ambao serikali yao haina dini??? Naibu wa NINI???
 
JK anateua watu kwa nafasi yoyote at his pleasure. The pleasure of the president -(Reference: Hamisi Kagasheki, MP)
 
Back
Top Bottom