Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

Mh rais jakaya amemteua kamishna wa polisi ndg ernest mangu kua igp<mkuu wa jesh la polisi>kuanzia leo.pia rais ameanzisha nafasi mpya ktk muundo wa jesh hlo ambapo kamishna kaniki ameteuliwa kua naibu kamishna wa jesh hlo. IKULU KURUGENZI YA HABARI
 
Uteuzzi huo umetolewa sasa hivi kuwa IGP Mpya ni Ernest Mangu na anachukua nafasi ya Said Mwema. Kabla ya Uteuzi huu wa leo kuwa IGP, Kamanda Mangu aliteuliwa wiki chache zilizopita kuwa DCI na sasa anakuwa IGP.

Aidha Kamishna wa Polisi Abdulrahmani Kaniki ameteuliwa kuwa Naibu IGP cheo ambacho ni kipya ndani ya Jeshi la Polisi.
DCI hakuteuliwa Ndg Mungulu?
 
Ablrahaman ndo kaula. Tangu uhuru hamna hiyo kitu. Labda ni kuweka usawa wa kidini. Inabidi huyo naibu afanye kazi kubwa ya kummonitor boss..hahahaaaa....!!!!
Awe mwangalifu na vyeo vipya isije kuwa hisani kama Augustine Mrema aliyekuwa Naibu waziri Mkuu cheo ambacho hakikuwepo na hakipo katika mfumo wa Tanzania kama hiki cha Kaniki. Just thinking aloud!
 
Aidha Kamishna wa Polisi Abdulrahmani Kaniki ameteuliwa kuwa Naibu IGP cheo ambacho ni kipya ndani ya Jeshi la Polisi.[/QUOTE]

Kuna taarifa za kuibiwa nyaraka za polisi ambapo kigogo mmoja wa polisi anadaiwa kuibiwa nyaraka nyeti zilizokuwa nyumbani kwake masaki zilizokuwa zonapelekwa kwa IGP alokuwa na kikao mwanza.Hujuma zilishakuwepo kuhujumu kamanda mango asiteuliwe
 
Haya, ngoja tusikilizie kama kuna jipya. Hivi ICC kweli wanakuja TZ kwa ajili ya tokomeza?
 
Ablrahaman ndo kaula. Tangu uhuru hamna hiyo kitu. Labda ni kuweka usawa wa kidini. Inabidi huyo naibu afanye kazi kubwa ya kummonitor boss..hahahaaaa....!!!!
Bw Abdulrahaman O. Kaniki ni msomi mkubwa wa sheria. Mwalimu wangu wa sheria chuo kikuu na ktk semina mbalimbali.

Kikwete umecheza ktk uteuzi
 
kamanda mangu alikua RPC mwanza baada ya marehem BARLOW.kiukweli c mtu aliekua anajulikana sana hata kpnd alipokua hapa mza.uadilfu wake kazn na nje ya kaz nadhan wale waliopo nae karbu watatusaidia.
 
Hatimaye JK kampiga chini bwana shemeji...
 
Tumeshasahau kuhusu udini naona JK ameanza kuuchokonoa tu! Hivi huyo Naibu IGP ni wa nini? Huu ni udini tu unaomsumbua huyu Rais wetu aliyevunja record ya kupanda Ndege nyingi na mara nyingi sana lakini hajui hata Blackbox ni nini.
 
Mi sitoi hongera zangu bure kwa huo uteuzi mpaka nione matunda yao. Usije kuta unaililia hongera uliotoa
 
Back
Top Bottom