Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

Wote wanaolalamika kuhusu udini hawana hoja na malalamiko yao yameegemea zaidi kwa kuangalia majina ya watu na wala hamna hata mmoja aliesema anasali kanisa moja na “Ernest” kwa hiyo anamjua kuwa ni mkristo safi au anaswali msikiti mmoja na “Abdurahman” kwa hiyo ni mwislamu safi. Wote wanaangalia majina tu na kuanza kulalamika udini inabidi sasa Serikali ianze kuteua watu na kutangaza kwa majina yetu ya kibantu kama vile IGP wangesema ni “mangu” na msaidizi wa IGP ni “Kaniki” sidhani kama hizi comment za udini zingekuwepo. Tuachane na haya masuala ya udini jamani...tutakosa wachapakazi na waadilifu kisa dini....

Chama chako CCM ndio waasisi wa Udini
 
Ama kweli akili ya kukalilishwa ndio inaua taifa
sikiliza kabla sijaondoka kuja huku ughaibuni sijawahi kuona mtu mpiga kazi ungeniambia labda ukoo wa panya uondoke ndio anaweza kufanikiwa lakini kama bado upo huu ukoo hakuna jipya ni yaleyale tu
wizara ya mambo ya ndani ni ngumu kama ya utalii
anaway sikubishii wewe yawezekana unajua kama upo naye karibu mkuu tupe je amewahi kukutana na changamoto gani wakati akiwa kiongozi
Nilisaidiwa kuongea vipi? Huyu afande ukifuatilia kesi za ugaidi za ubalozi wa Marekani ndio utajua ni nani,, ana vigezo, upeo na kujiamini. Amekuwa mwalimu wa masuala ya upelelezi wa kimataifa, uliza Marekani, Ujerumani,, Uingereza, Kenya,, Uganda, Rwanda n.k they know him.
 
huyu ni mtekelezaji mzuri wa sera pia ana msimamo thabiti,ila ni muhanga wa ukabila,kuna kipindi alipewa nafasi kwenye idara ya uajiri karibu depo nzima kule ccp moshi walikiwa ni wanyampaa wa singidani sasa sijui au atabadilika?
 
Back
Top Bottom