Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yatembelea Ofisi za Jamii Forums

Duuh kamati imejaa wazee watupu kwa kasi hii ya teknolojia kweli wanaenda nayo maana wanaweza kutumia maudhui waliyofundishwa enzi ya soviet ya zamani leo hivyo kuona kila kitu ni makosa ya kuwafungia watu.

Wajaribu kuwekewa na damu changa ili kuwasaidia mawazo mapya
 
Polepole wataanza kutambua umuhimu wa JF katika jamii ya kitanzania na Dunia iliyostaarabika kwa ujumla ili kukuza udadisi, elimu, kujiamini, uhuru wa kusema mambo yanayotuhusu nk, kwa ajili ya maendeleo.

Bravo mkuu Maxence Melo.
 
Duuh kamati imejaa wazee watupu kwa kasi hii ya teknolojia kweli wanaenda nayo maana wanaweza kutumia maudhui waliyofundishwa enzi ya soviet ya zamani leo hivyo kuona kila kitu ni makosa ya kuwafungia watu

Wajaribu kuwekewa na damu changa ili kuwasaidia mawazo mapya

Hao ndio wanaojitahidi kutuaminisha kuwa wanaotukwamisha kwenye maendeleo ni mabeberu wa kizungu wakati ukweli wanaotukwamisha ni Mabeberu wa CCM ambao wako tayari kutoa roho za Watanzania ili wao na familia zao na vimada wao waishi maisha ya kifahari milele!
 
JF inaingizaje fedha?

NB: Hili swali kama huliwezi utulie tuwasubiri wajuzi.
Jiulize we unapata faida gani kuwa humu JF kwanza kabla ya kuuliza JF inapataje faida.
We mwenyewe ni faida ya JF hujielewi.

Sent from HELL
 
Wasije wakapendekeza tuanze kutumia Nationa ID number kujisajili humu. ha ha ha
 
Jiulize we unapata faida gani kuwa humu JF kwanza kabla ya kuuliza JF inapataje faida.
We mwenyewe ni faida ya JF hujielewi.

Sent from HELL
Mimi ninafaidika kwa kupata taarifa mbalimbali ndani ya muda mfupi.

Wewe nisaidie jinsi JF inavyoingiza fedha
 
Back
Top Bottom