Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
Dah kitu cha Kijerumani hiki
Sasa huyu Excellent ameomba kamati ya usafiri lakini hata demo tu ya usafiri alionao hakuna!!!
vipi itawafaa maharusi hiyo?
Dah kitu cha Kijerumani hiki
Yan hapa nimeshika Mpini.....
Lazma nione hatma ya majungu yako.....
Na Amy nimempa uweka Hazina.....
Utantaka.....Lol
Kamati ya mapambo usinisahau mh. Mwenyekiti...
Lol
Bora nipande bajaji ya Preta
LolSL ,
Classmate wangu Mh. Zitto Zuberi Kabwe, ame'confirm kutoa tickets mbili za Emirate ,
Dar/Minesota/Dar kwa Members watakao kwenda huko kwa shoping tafadhali iwekeni hiyo taarifa kwenye protocal .
SL ,
Classmate wangu Mh. Zitto Zuberi Kabwe, ame'confirm kutoa tickets mbili za Emirate ,
Dar/Minesota/Dar kwa Members watakao kwenda huko kwa shoping tafadhali iwekeni hiyo taarifa kwenye protocal .
Kitu kimendikwaItabidi utumie nguvu ya ziada kumkonvisi ili aachie 15000 ya siku hiyo kwa ajili ya harusi hiyo, ila angalia asije achia hiyo 15000 halafu akakosa hata nauli ya kufika ukumbini, hivi ukumbi ni wapi kwanza?
Hiyo imeipita SS....inafaa sana
kwanza hawajawahi panda km hiyo
Lol
Ushaanza umbea eeeeh
Lol hata ukiwa karibu hakuna tatizo maana bibi harusi mwenyewe anakaribia kujifungua na hata hivyo tunahofia anaweza kujifungulia ukimbini
Lol
Atakuja kaenda kutafuta washirika wake wa kamati
Mwambie asidanganyike akaenda kwa Nitonye atapotea, Nitonye ataishia kumzungusha tuuu.... bora amtafute Babu Dark City anaweza kumsaidia. halafu kama akitaka kagari ka vijana wa tarumbeta nitamuazima haka hapa, sijui katafaa?
Teh mbona tayari lipo....Mmh! Umeshafikiria vibaya, najua hali aliyonayo bi harus wetu ndo maana ningependa kukanae karibu ili niwe wa kwanza kumchagulia jina la mtoto mtarajiwa.
Duh haka nahisi kanawafaa wanakamati aisee