Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Nini tena Kipipi???
Nilikuacha na Cantalisia....yuko wapi tunamngoja huku

Naona mambo motomoto, vijana mwashughulika ipasavyo!! Dah.....hapa Cantalisia kuja mpaka Rejao amuachie, maana hiyo superglue alomkumbatia nayo si mchezo!
 
Naona mambo motomoto, vijana mwashughulika ipasavyo!! Dah.....hapa Cantalisia kuja mpaka Rejao amuachie, maana hiyo superglue alomkumbatia nayo si mchezo!
Ukiona hivyo ujue pua inafanya kazi yake ipasavyo....
 
Hapana mimi ni yule yule, na Hayo ni wewee wasema.... haiwezekani Mwenyekiti akaibuka tu na kujitangaza na kujichagulia kamati bila hata kujua harusi inafungwa wapi? na tena hajachaguliwa na mtu yeyote! anaachia watu wachague kamti zingine ilhali kamati ya fedha kaikamata mwenyewe!!!

we kubali either kati ya mawili haya 1. Uiuze shughuli hiyo kwetu, tuipeleke kibiashara zaidi au 2. uachie ngazi

wa wa wa wa wa(makofi kwa wingi)...naomba ukae umetisha...WAITER...peleka mzinga wa Valuu paleeeee!
 
Darling.. Niambie kipi kimejiri? Nimetoka kuprint card za michango jamani.

Nimekuteua uwe mweka hazina wangu wa kamati.....ila bagah na SS km kawaida yao....majungu tu
 
mnageuza harusi za wenzenu biashara!hakuna...jeep,ndafu mazagazaga yote vinarudi...tunaanza upya!..


YES
4Inuka, suala hili lipo mikononi mwako. Sisi tutaungana nawe, uwe na ujasiri ukatende hili.''
 
naona mambo motomoto, vijana mwashughulika ipasavyo!! Dah.....hapa cantalisia kuja mpaka rejao amuachie, maana hiyo superglue alomkumbatia nayo si mchezo!
hapa ni kuvunja kamati tu
 
Hehehe! Jamani mwenzenu nipo matenite livu, si mnajua shem wenu JG hataki kuchelewesha mambo. naomba mpange kamati vizuri. Nitarudi kesho kuangalia mchakato unaendaje.

My to b , hii siri nakumbuka last wik ulinambia utaimwaga baada ya shughl zote kwisha .
Hata hivyo haineno , maadamu mchakato umeshafikia hapa sioni tena maana ya kufichaficha.
Ikibidi panda juu ya paa uwahabarishie huko, na waliokua mbali msg's ziwafikie , sawa Mammiy ?
 
Bagah we wa kusema maneno haya leo? Loh! Kweli shem sina tena..

duh,
shem sikua na ujanja...mm najua ww unamchuza braza hapo...ukwel unao moyoni...ivi izo hela umeweka tigo pesa au M-pesa?si unajua kesho tuna ile dinner party sea cliff?na zawadi hujachagua mama!
 
duh,
shem sikua na ujanja...mm najua ww unamchuza braza hapo...ukwel unao moyoni...ivi izo hela umeweka tigo pesa au M-pesa?si unajua kesho tuna ile dinner party sea cliff?na zawadi hujachagua mama!

Hahahahaaaa kweli mfa maji haachi kutapatapa
 
Back
Top Bottom