Mbona unajishebedua sana. Nimekuambia weka mkataba huo hapa tuusome. Mbona unaleta hadithi?Nyerere na viongozi wengine walisaini makubaliano kuwa nchi zote za afrika zifuate mipaka ya wakoloni wa mwisho katika nchi zao ili kuondoa migogoro na vita iliyokuwa inajitokeza mara kwa mara wakati huo nchi za afrika zikigombea mipaka. Kwahiyo mkataba wa UN wa kugawana maji nusu kwa nusu huuhusiki kwa sab wamekubaliana watumie mipaka ya wakoloni peke yake.
sina huo mkataba lkn upo walisaini viongozi wa afrika hata bernard membe aliuzungumzia lkn hakuuonyesha kwenye tv kama unavyodai niuonyesheMbona unajishebedua sana. Nimekuambia weka mkataba huo hapa tuusome. Mbona unaleta hadithi?
Weka hayo mazungumzo hapa tuyasikie.sina huo mkataba lkn upo walisaini viongozi wa afrika hata bernard membe aliuzungumzia lkn hakuuonyesha kwenye tv kama unavyodai niuonyeshe
Sina sio kila kitu anachozungumzia mtu anacho. vitu vinaandikwa kwenye magazeti na kuongelewa kwenye matv na redio sasa utarekodi kila kitu? Huu mzozo membe ameuzungumzia sana kwenye magazeti tv na redio binafsi nimemsikia akiongelea kwenye interview mbili lkn sijarekodi.Weka hayo mazungumzo hapa tuyasikie.
Sasa upo na evidence ipi?Sina sio kila kitu anachozungumzia mtu anacho. vitu vinaandikwa kwenye magazeti na kuongelewa kwenye matv na redio sasa utarekodi kila kitu? Huu mzozo membe ameuzungumzia sana kwenye magazeti tv na redio binafsi nimemsikia akiongelea kwenye interview mbili lkn sijarekodi.
Nimemsika membeSasa upo na evidence ipi?
Evidence yako ni kumsikia membe? Yaani umemsikia Membe pekee yako sio?Nimemsika membe
Kwakuwa wewe hujamsikia haimaanishi mpumbavu mimi nilikuwa peke yangu kuna wapumbavu wengi tulisikia Mh Bernard Membe akielezea kila kitu kuhusu mgogoro na kutokana na maswali aliyokuwa anaulizwa na mtangazaji. Kama upumbavu wangu ni kutorekodi mazungumzo yale ili nikuwekee hapa uyasikie nakubali kweli mimi ni mpumbavu mkuu tena ni mpumbavu endelevu kwa sab taarifa nyingi huwa sirekodi.Evidence yako ni kumsikia membe? Yaani umemsikia Membe pekee yako sio?
Nemekuambia uweke mkataba uliosainiwa na akina Kamuzu Banda umeshindwa kuuleta.
Ukasema mazungumzo ya Membe nayo umeshindwa yaleta.
Nimekuuliza una evidence yoyote huna eti ulisikia.
Sasa wewe utakuwa ni mpumbavu. Nimekuwekea link ya AU kuhusu mipaka hutaki kusoma. Unakomaa na kitu ambacho hakipo. Huo ni upumbavu hauna nafasi hapa JF.
Sasa wewe evidence yako ni nini?Kwakuwa wewe hujamsikia haimaanishi mpumbavu mimi nilikuwa peke yangu kuna wapumbavu wengi tulisikia Mh Bernard Membe akielezea kila kitu kuhusu mgogoro na kutokana na maswali aliyokuwa anaulizwa na mtangazaji. Kama upumbavu wangu ni kutorekodi mazungumzo yale ili nikuwekee hapa uyasikie nakubali kweli mimi ni mpumbavu mkuu tena ni mpumbavu endelevu kwa sab taarifa nyingi huwa sirekodi.
Kama una refer Taarifa za Membe kipitia Tv na redio ni za kijiweni basi kweli mimi ni bingwa wa taarifa za kijiweni. Na hizo link zako kawape wasomi wenzako niache wa kijiweni na taarifa zangu za kijiweni.Sasa wewe evidence yako ni nini?
Soma hapa kuhusu mikataba AU ili ujipe elimu kidogo
OAU/AU Treaties, Conventions, Protocols & Charters | African Union
Sio kuleta hadithi za vijiweni. Hapo utaona program kuhusu mipaka.
Mkuu wapewe ziwa lao ina maana wakazi wote waliozaliwa upande wa tz pembezoni mwa ziwa toka babu zao miaka ya 1700-1800 wamekuwa wakiishi kwa amani kwa kutumia rasilimali yao ya ziwa waliyopewa na mwenyez Mungu ,Leo eti aje mzungu awawekee mpaka kuwa ziwa litakuwa la upande wa huku (Malawi), huoni ni unyang'anyi wa mchana kwa interest za wazungu? .sasa cc kama wazalendo hatuko tayar kuona ndugu zetu wakinyimwa haki yao ya kutumia ziwa wakati wameishi nalo kabla hata ya kuja kwa hao wazungu na kuweka mpaka.Hata mi naona wapewe ziwa lao lote isitoshe halitusaidii chochote
Sasa povu la nini sasa? Wewe nimekupa source toka AU. Wewe unataka niamini maneno yako yasiyo na evidences.Kama una refer Taarifa za Membe kipitia Tv na redio ni za kijiweni basi kweli mimi ni bingwa wa taarifa za kijiweni. Na hizo link zako kawape wasomi wenzako niache wa kijiweni na taarifa zangu za kijiweni.
Na huyo rais wenu asijaribu wengineachana nae!ila nawewe mwambie kuwa WATANZANIA na raisi wao sasa hawajaribiwi!
Usiamini mkuu tena taarifa zangu zote zichukulie NUL AND VOID kwa sab ni pure za kijiweni na hizo zako za kisomi kaa nazo tu mie nasubiri za kijiweni mkuu.Sasa povu la nini sasa? Wewe nimekupa source toka AU. Wewe unataka niamini maneno yako yasiyo na evidences.
Fungua hiyo link utajifunza mengi.
Ukisikia ujinga ndio huu, na Ukisikia wajinga ndio watu kama wewe.
Kwenye kutengeneza mipaka kila kona ina sababu na sio urembo, vinginevyo ramani nyingi zingekuwa straight lines.
Ule mkunjo kule juu kwenye ramani yetu ni sababu ya Mlima Kilimanjaro.
NO. Ujinga sio kutukana bali ni hali ya kutokujua.
View attachment 454234
Paskali
Basi acha kubwabwaja na kutoa uongo hadharani.Usiamini mkuu tena taarifa zangu zote zichukulie NUL AND VOID kwa sab ni pure za kijiweni na hizo zako za kisomi kaa nazo tu mie nasubiri za kijiweni mkuu.
Nimeacha mkuuBasi acha kubwabwaja na kutoa uongo hadharani.