Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,966
Sasa ulichofanya ndio nini? Wewe umesema mlima kilimanjaro upo kenya. Kwa historia ipi? Unaweza kuthibitisha au unaleta hadithi za hapa na pale? Acha conspiracy theories.Ukisikia ujinga ndio huu, na Ukisikia wajinga ndio watu kama wewe.
Kwenye kutengeneza mipaka kila kona ina sababu na sio urembo, vinginevyo ramani nyingi zingekuwa straight lines.
Ule mkunjo kule juu kwenye ramani yetu ni sababu ya Mlima Kilimanjaro.
NO. Ujinga sio kutukana bali ni hali ya kutokujua.
View attachment 454234
Paskali
Nimekupa mfano mdogo tu. Unabwatuka na kuanza kutoa povu mara ho!! Mjinga mara ho!! Ujinga sio abc.
Leta proof za kuonesha mlima kilimanjaro upo kenya sio kuleta ngonjera hapa.