darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,208
- 18,226
yale yaleMangu ni m-Pare kama alivyo Msangi
yale yaleMangu ni m-Pare kama alivyo Msangi
😱😱😱 Mkuu, usiwe na shaka na mtandao wangu pendwa... Uko salama salimini. Naulinda kuliko hata mboni yangu ya jicho...We mpaka unamtamani mwanaume mwenzio na kuvutiwa naye macho yake....sidhani kama mtandao pendwa wako utakuwa salama unanasa mawimbi......@loading
Acha ubashite wwKuna nafikiri huyu ndiye ambaye anaweza kumrithi IGP SIRO kwa Dar. Mkumbo wa Arusha kurudi Mwanzaaa?Wasalimie Dar kamanda Msangi, Kachero mbobezi.
Katilii sana linauwa uwa watu hovyo huko mwanzamapolisi utawajua tu humu...huyu msangi ana ukatili flani hivi nishamkumbuka
Huyu alikimbiwa na majambaz kule milimani????Kuna nafikiri huyu ndiye ambaye anaweza kumrithi IGP SIRO kwa Dar. Mkumbo wa Arusha kurudi Mwanzaaa?Wasalimie Dar kamanda Msangi, Kachero mbobezi.
MnoooooooHivi vitu vimemkaa moyoni mkulu kiasi vinaathiri muono na utendaji wake.
Yule kamanda wa Mwanza huwa ana macho mazuri😀😀😀. Hivi hana mtoto wa kike nikamtolee posa?
View attachment 515772
mkuu kwan majukum yanapangwa kikanda ?1. Kaskazin
2. Ile Dini
Sahau
Tossi alishastaafu mda 2 kwa mujibu wa sheriaHivi yule kamanda Tossi alistaafu?
Mangu mnyaturu jamani.Mangu ni m-Pare kama alivyo Msangi
Mwenye Macho haambiwi Tazamamkuu kwan majukum yanapangwa kikanda ?
.Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
pole umeongea kwa maumivu makali sana lakin kwa upole, naimani ujumbe umefika.Tuambiwe basi ili tujisahihishe, kuliko kutengwa kila siku