Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

Muda mwingi nilikuwa naangalia pumba za wachangiaji wachache sana ambao wanadai wanamfahamu msangi. Huyu hana uadilifu wa aina yoyote, Mimi nilianza kumjua wakati naishi morogoro mwaka 2001 enzi zile kuna kijana mdogo wa kichaga nitamkumbuka jina baadaye aliyekuwa supplier mkubwa wa bia ambaye alikuwa na fedha nyingi zilizotokana na kuwa planner wa ujambazi uliokuwa ukifanyika kwenye mapoli yaliyopitiwa na barabara za michepuko wakati barabara ya chalinze - moro ilipokuwa inajengwa. Uporaji aliokuwa akiufanya yule kijana kwa kutumia kundi lake msangi alikuwa akiujua vizr wakati ule akiwa Rco-moro na alipomdhurumu tu alituma askari kwenda kumuua yule bwana mdogo kwenye geti la nyumba yake. Muwe mnaandika vitu vya uhakika humu ninyi hamumfahamu huyu mtu
Tunakuhitaji polisi uje utusaidie kutokomeza uhalifu. Umesema uko wapi?
 
Kuna nafikiri huyu ndiye ambaye anaweza kumrithi IGP SIRO kwa Dar. Mkumbo wa Arusha kurudi Mwanzaaa?Wasalimie Dar kamanda Msangi, Kachero mbobezi.

Mnadhani mnawabashiria kumbe kiuhalisia ndiyo mnawafanya Wapotezwe na hata wasifikiriwe kabisa kwani wanaweza kuhisi kuwa Wewe muanzisha uzi huu ndiye Mhusika mwenyewe hivyo unachokifanya hapa ni kumpima Upepo Jemedari Rais Dkt. Magufuli kitu ambacho huwa hakipendi na huwa kinamkera sana kama ambavyo alikwishawahi kusema pale Ubungo alipokuwa akizindua Ujenzi wa barabara za Flyovers.
 
Muda mwingi nilikuwa naangalia pumba za wachangiaji wachache sana ambao wanadai wanamfahamu msangi. Huyu hana uadilifu wa aina yoyote, Mimi nilianza kumjua wakati naishi morogoro mwaka 2001 enzi zile kuna kijana mdogo wa kichaga nitamkumbuka jina baadaye aliyekuwa supplier mkubwa wa bia ambaye alikuwa na fedha nyingi zilizotokana na kuwa planner wa ujambazi uliokuwa ukifanyika kwenye mapoli yaliyopitiwa na barabara za michepuko wakati barabara ya chalinze - moro ilipokuwa inajengwa. Uporaji aliokuwa akiufanya yule kijana kwa kutumia kundi lake msangi alikuwa akiujua vizr wakati ule akiwa Rco-moro na alipomdhurumu tu alituma askari kwenda kumuua yule bwana mdogo kwenye geti la nyumba yake. Muwe mnaandika vitu vya uhakika humu ninyi hamumfahamu huyu mtu
Mkuu hii issue kuna mzee mmoja alikua RPC mahali aliwahi kunisimulia, lakini mimi niliichukulia kama mzaha aisee.
 
Jamaa analo bifu na chaga sababu ya kwanza kwamba hawa jamaa awajamchaguwa kipindi kile na sababu ya pili hawa chaga wana undugu sana kwenye kazi pia ni wezi sana nao ndio walio tufikisha hapa kwa wizi wao pale bandari na t r a walijazana sana kwa hili na mpongeza magu kulijuwa mapema hata kwanye chama chao kina chaga wengi
Kwenye kaya yetu watu hawapewi madaraka au kazi kwa misingi ya kabila, dini,rangi au sehemu wanayotokea..unapewa kazi au madaraka kwa kuzingazitia taaluma yako na uwezo wako..na kama ulichosema kipo basi...ni hatari sana kwa mustakabali wa kaya yetu.. Kikubwa Watanzania tupendane na tusianze kubaguana kwa sababu zisizo na mashiko..hao uliowata wangekuwa wameshika madaraka makubwa kwenye kaya yetu ingekuwaje??..sifa kubwa ya uliotaja ni uwezo wako wa kufanya kazi kwa bidii na baraka zinazoambatana nao na kizazi chao..na wakiongoza sehemu au taasisi yoyote inakuwa na mafanikio sana(jaribu kufuatilia utaona)..na ninaamini wakija kushika madaraka makubwa ndani ya kaya yetu..kaya yetu hakika itapaa haraka Sana kiuchumi na maendeleo ya mtu mmoja mmoja...na ushauri wangu kwa mkuu wa kaya yetu awashirikishe hawa watu kwenye uongozi wake..ataona watakavyomletea maendeleo katika uongozi wake..sababu ni watu wanaojua maendeleo nini na wanachapa kazi na "wamebarikiwa...hili ni katika ulimwengu wa Roho"
 
Wambura mnamsahau eeeehhhhhh ndio yuko pale anasubiriaaa kama mlikuwa hamjui sasa mtamjua!!! Vyombo vyoooote ulinzi usalam kanda Moja......mtakoma wenyewe!! Serikali nzima kanda maalum
 
Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
Hivi Dr. Ulimboka yuko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom