Nadhani pia ana degree ya ukachero au police science ya ukWakati anasoma Tambaza sikutegemea kuwa atakuwa na ukatili huo.
Nadhani pia ana degree ya ukachero au police science ya ukWakati anasoma Tambaza sikutegemea kuwa atakuwa na ukatili huo.
Yupo fire uyo hahaThobius Andengenye where u at broh
acheni propaganda, naye ni mpigaji dili tu hamna alichofanya hapa mwanzaKuna nafikiri huyu ndiye ambaye anaweza kumrithi IGP SIRO kwa Dar. Mkumbo wa Arusha kurudi Mwanzaaa?Wasalimie Dar kamanda Msangi, Kachero mbobezi.
Akifuatiwa na yule aliyrkuwa RPC wa Arusha sasa hivi ni Mkuu wa Jeshi la ZimamotoUpo sahihi kabisa.Msangi ni moja wa makamanda katili kabisa kuwahi kutokea katika jeshi la polisi
Tangu akiwa morogoro...na kutembea na wake za watumapolisi utawajua tu humu...huyu msangi ana ukatili flani hivi nishamkumbuka
Yule anaitwa ananyege sijui nani,wamemtuliza kule fire ataibuka tu,hawa wanatakiwa sana pwani huko.Akifuatiwa na yule aliyrkuwa RPC wa Arusha sasa hivi ni Mkuu wa Jeshi la Zimamoto
Itakuwa amebadirishia gia angani, hataki kuangalia na upande wa pili, kama watangulizi walivyokuwa wanafanya. Kama wa safari hii alikuwa anafunga siku 30, basi anayefuata ni wasiku 40. Mambo yalikuwa yanaenda sawa kwa sawa.Sio wa kaskazini, bali nazungumzia sie ambao kuanzia jana tumeanza kubadili ratiba za kula hatuli day time mpaka siku 29 au 30 zipite
Umenichekesha sana!Yule kamanda wa Mwanza huwa ana macho mazuri😀😀😀. Hivi hana mtoto wa kike nikamtolee posa?
View attachment 515772
Hao ndiyo wanahitajika kwa sasa, wanaendana na kasi ya hapa kazi tu.Wakati anasoma Tambaza sikutegemea kuwa atakuwa na ukatili huo.
Mbona wa siku 30 alikua ana-balance??Itakuwa amebadirishia gia angani, hataki kuangalia na upande wa pili, kama watangulizi walivyokuwa wanafanya. Kama wa safari hii alikuwa anafunga siku 30, basi anayefuata ni wasiku 40. Mambo yalikuwa yanaenda sawa kwa sawa.
Hawa ni vijana walioandaliwa kuwa elite katika jeshi la polisiHao ndiyo wanahitajika kwa sasa, wanaendana na kasi ya hapa kazi tu.
Dah! Huyo jamaa keshapotezwa mbaya. Aliondoka Morogoro kwa majitambo kuwa anaenda Dar kuandaliwa kuwa IGP...Thobius Andengenye where u at broh
Huu ni ubashiri, utabiri, mapendekezo au maono??Mkuu wa mkoa Pwani kwenda Kilimanjaro
Mkuu wa wilaya Knondoni kuwa mkuu wa mkoa Tanga
Mkuu wa mkoa Tanga kuhamia Rukwa
Mkuu wa mkoa Rukwa kuhamia Pwani
Mkuu wa wilaya Bagamoyo kwenda Knondoni
Mtu mpya kuteuliwa kushika nafasi Bagamoyo (toka Lumumba, sura mpya kabisa)
Kamanda Iringa to Mwanza
Kamanda Mwanza to Dar
Afisa mmoja wapo toka makao makuu kuteuliwa kuwa kamanda Iringa.
Nimeoteshwa stay tune tuone kama itakuwa kweli.
Thobius Andengenye where u at broh
MaonoHuu ni ubashiri, utabiri, mapendekezo au maono??