Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
 
Yule kamanda wa Mwanza huwa ana macho mazuri:D:D:D. Hivi hana mtoto wa kike nikamtolee posa?
MSANGI.jpg
 
Back
Top Bottom