Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
Aendelee kufyeka wale majmbazi na majangili wenye pikipiki za boxers, hakuna huruma, wakitoa vya moto wakutane na vya moto mara 10 vya polisi wetu..
 
Cammilius wambura ndio atachukua nafasi ya siro sina cbabu ya kueleza kwanini kwani mshanielewa na sitaki maswali mm nimemaliza lazima tupange watu wetu
 
Upo sahihi kabisa.Msangi ni moja wa makamanda katili kabisa kuwahi kutokea katika jeshi la polisi

acha uongo najua mnamchukia kwakua DCP sio mtu wa mchezo mchezo na hana njaa msangi hahongeki na harubuniki kirahisi......mnamuonea wivu tu ninatazama siku za usoni huyu jamaa atakuja kua IGP au hata mtu mkubwa saaana huko Interpol
 
huyo Ahmed Msangi akizungumza tu unajua hana busara. hivi ana undugu na Salum Msangi ambaye ni naibu mkurugenzi wa makosa ya jinai Zanzibar?
 
Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
Nahisi DSM anaweza kupewa DCP Liberatus Lyimo Sabas ambapo spirit yake jumlisha ile ya Sirro,lazima watu wakubali huo mziki
 
acha uongo najua mnamchukia kwakua DCP sio mtu wa mchezo mchezo na hana njaa msangi hahongeki na harubuniki kirahisi......mnamuonea wivu tu ninatazama siku za usoni huyu jamaa atakuja kua IGP au hata mtu mkubawa saaana huko Interpol
wapi amechukiwa?nimejaribu kuonesha wasifu wake,acha kudandia treni kwa mbele
 

Ngongo JF-Expert Member
#14
Jun 29, 2012

Joined:Sep 20, 2008
Messages:12,027
Likes Received:3,367
Trophy Points:280
Msangi alikuwa Usa River Arusha kipindi chake ukisikia ndugu yako kapelekwa kituo cha Polisi Usa unaanza kuandaa taratibu za mazishi.ACP Msangi ni aina ya vijana waliopandishwa madaraja haraka haraka kwasababu Marehemu Baba yake Mzee Msangi alikuwa RPC katika mikoa mbali mbali kabla hajastaafu akahakikisha kijana wake anawekwa sehemu nzuri.

Sishangai sakata la Dr Ulimboka kuhusishwa na ACP Msangi hawa vijana hawako polisi kwaajili ya maslahi ya Tanzania bali wako kwaajili ya watawala wako tayari kufanya jambo lolote kwa maslahi ya watawala.
Muda mwingi nilikuwa naangalia pumba za wachangiaji wachache sana ambao wanadai wanamfahamu msangi. Huyu hana uadilifu wa aina yoyote, Mimi nilianza kumjua wakati naishi morogoro mwaka 2001 enzi zile kuna kijana mdogo wa kichaga nitamkumbuka jina baadaye aliyekuwa supplier mkubwa wa bia ambaye alikuwa na fedha nyingi zilizotokana na kuwa planner wa ujambazi uliokuwa ukifanyika kwenye mapoli yaliyopitiwa na barabara za michepuko wakati barabara ya chalinze - moro ilipokuwa inajengwa. Uporaji aliokuwa akiufanya yule kijana kwa kutumia kundi lake msangi alikuwa akiujua vizr wakati ule akiwa Rco-moro na alipomdhurumu tu alituma askari kwenda kumuua yule bwana mdogo kwenye geti la nyumba yake. Muwe mnaandika vitu vya uhakika humu ninyi hamumfahamu huyu mtu
 
mapolisi utawajua tu humu...huyu msangi ana ukatili flani hivi nishamkumbuka
msangi ambaye kwa sasa yupo mwanza, ndiye anayefaa kuliko wote. ni mtu ambaye nilishafanya naye kazi, ni mpole, anajichanganya sana, unaweza kumkuta sehemu usiamini kama ni rpc, na anafanya kazi. anafaa aende dsm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom