Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

msangi ambaye kwa sasa yupo mwanza, ndiye anayefaa kuliko wote. ni mtu ambaye nilishafanya naye kazi, ni mpole, anajichanganya sana, unaweza kumkuta sehemu usiamini kama ni rpc, na anafanya kazi. anafaa aende dsm.
Sawa poti tumekusikia
 
Bahat mbaya baba yangu amestaafu,,wangemleta dar hakika hakuna hata mtu angeporwa simu,,maana naujua utukutu wa yule mzeee
 
1. Kaskazin
2. Ile Dini
Sahau
Aise umemezeshwa udini na ukabila,kamishna wa madawa anatoka kanda ipi kweli,
Mwenyekiti kamati ya uchunguz wa madini ni dini gani?
Acha fikra za ukanda na udini afterall kamanda wa kanda maalum hateuliwi na rais bali polisi yenyewe
 
Upo sahihi kabisa.Msangi ni moja wa makamanda katili kabisa kuwahi kutokea katika jeshi la polisi
Sifa moja wapo ya kamanda lazima awe katili dhidi ya wahalifu,mhalifu si wa kuchekea wala kunyenyekea.
Hat hivyo wewe binafsi au jirani yako kama raia wema mlifanyiwa ukatili gani na huyu kamanda???
 
Aise umemezeshwa udini na ukabila,kamishna wa madawa anatoka kanda ipi kweli,
Mwenyekiti kamati ya uchunguz wa madini ni dini gani?
Acha fikra za ukanda na udini afterall kamanda wa kanda maalum hateuliwi na rais bali polisi yenyewe
Kamanda wa Kanda Maalum anateuliwa na Raisi kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui
 
Duh.asihamie dar Mwanza alikomesha mambo ya ughaidi hata mbeya.sav mwanza hamna cha ujambawazi plz abaki huku kwetu chonde uncle magu usimhamishe
 
Ahmed Msangi anafanya vizuri sana huko Mwanza ila kama atahamishiwa Dar anastahili lakini Dar ni mji wenye changamoto nyingi sana maana ni mji wa wahalifu. Ukitusua Dar basi wewe ni kidume
 
acha uongo najua mnamchukia kwakua DCP sio mtu wa mchezo mchezo na hana njaa msangi hahongeki na harubuniki kirahisi......mnamuonea wivu tu ninatazama siku za usoni huyu jamaa atakuja kua IGP au hata mtu mkubwa saaana huko Interpol
kesi yako ya mirungi imeisha
 
Hii familia ni ya kipolisi yaani hawa wapare wameitendea haki tasnia ya utii bila shuruti.
 
Naona wamerithi taaluma ya baba yao!! Sijui kuhusu ukatili wao ila najua ndugu 2 wote wamefika huko vyeo juu sana mwingine Naibu DCI Zbar! Baba yao alikuwaga RPC Pwani Zahoro Msangi!!
 
mapolisi utawajua tu humu...huyu msangi ana ukatili flani hivi nishamkumbuka

Tena hafai kabisa huyu Mkuu. Kamanda Sirro kama unatusoma tunaomba utuletee kamanda mwingine huyu hafai hata kidogo kwenye jiji letu.
 
Back
Top Bottom