Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,145
Naona wamerithi taaluma ya baba yao!! Sijui kuhusu ukatili wao ila najua ndugu 2 wote wamefika huko vyeo juu sana mwingine Naibu DCI Zbar! Baba yao alikuwaga RPC Pwani Zahoro Msangi!!
Wamerithi au kubebana mkuu?!!!