Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Basi atapelekwa kanda maalum ya kule pwaniWakati anasoma Tambaza sikutegemea kuwa atakuwa na ukatili huo.
Basi atapelekwa kanda maalum ya kule pwaniWakati anasoma Tambaza sikutegemea kuwa atakuwa na ukatili huo.
No ninadhani ngosha anamhitaji DarBasi atapelekwa kanda maalum ya kule pwani
hana elimu yoyote...ana certificate of law tu.Nadhani pia ana degree ya ukachero au police science ya uk
Mimi nimemkumbuka wakati wa sakata la ulimbokamapolisi utawajua tu humu...huyu msangi ana ukatili flani hivi nishamkumbuka
kaipata wapi?hana elimu yoyote...ana certificate of law tu.
Mangu ni m-Pare kama alivyo MsangiJamaa analo bifu na chaga sababu ya kwanza kwamba hawa jamaa awajamchaguwa kipindi kile na sababu ya pili hawa chaga wana undugu sana kwenye kazi pia ni wezi sana nao ndio walio tufikisha hapa kwa wizi wao pale bandari na t r a walijazana sana kwa hili na mpongeza magu kulijuwa mapema hata kwanye chama chao kina chaga wengi
Dah! Huyo jamaa keshapotezwa mbaya. Aliondoka Morogoro kwa majitambo kuwa anaenda Dar kuandaliwa kuwa IGP...
Tatizo ulaji mkuu.Ni Mkuu Wa Jeshi la Zimamoto, Nafasi sawa tu na IGP
mapolisi utawajua tu humu...huyu msangi ana ukatili flani hivi nishamkumbuka

😀😀😀😀😀😀Yule kamanda wa Mwanza huwa ana macho mazuri😀😀😀. Hivi hana mtoto wa kike nikamtolee posa?
View attachment 515772
udsmkaipata wapi?
Mangu siyo Mpare, ni mtu wa Singida.Mangu ni m-Pare kama alivyo Msangi
Hivi jeshi la polisi halizalishi askari wengine wenye uwezo ? Walewale tu !Kuna nafikiri huyu ndiye ambaye anaweza kumrithi IGP SIRO kwa Dar. Mkumbo wa Arusha kurudi Mwanzaaa?Wasalimie Dar kamanda Msangi, Kachero mbobezi.
We mpaka unamtamani mwanaume mwenzio na kuvutiwa naye macho yake....sidhani kama mtandao pendwa wako utakuwa salama unanasa mawimbi......@loadingYule kamanda wa Mwanza huwa ana macho mazuri😀😀😀. Hivi hana mtoto wa kike nikamtolee posa?
View attachment 515772
Ni kama twin wa Bashite mkuu
Hivi vitu vimemkaa moyoni mkulu kiasi vinaathiri muono na utendaji wake.1. Kaskazin
2. Ile Dini
Sahau
Labda ndugu yetu wa msoga alimbana sana au alichukuliwa mwanamke na ndugu maana chuki hii ni dhahiri.Sio wa kaskazini, bali nazungumzia sie ambao kuanzia jana tumeanza kubadili ratiba za kula hatuli day time mpaka siku 29 au 30 zipite
Tena toka kabila moja ma dini mojaMbona wa siku 30 alikua ana-balance??
Huyu kila siku wale wale, kila siku walewale