Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Lema kapelekwa huko kutishia maisha ya wananchi, huko anajulikana kuwa ni Jambazi sugu.
sawa manamba wa nape kapoke posho sasa
Lema kapelekwa huko kutishia maisha ya wananchi, huko anajulikana kuwa ni Jambazi sugu.
Kweli siasa ni dili, hata majambazi wanatukuzwa.
Nashangaa mmeshindwa hata kuwa vua magamba.....
Alishakuibia nini au ndio umetumwa?
nimekukubali kamanda, cdm ndo mwokozi wetu, cdm ni alfa na omega
Lema ni jembe la chadema, full stop....!
Wakuu muda si mrefu nimemuona mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA) Godbless Lema maeneo ya Kikatiti. Alikua ndani ya gari na alisimama ili kusalimia watu ambao walianza kulizunguka gari lake kumsalimia baada ya kumtambua.
Hakukaa sana eneo hili kwani mara baada ya kusalimiana na raia alishika barabara ya kuelekea Maroroni.
Haya sasa wale wazeee wa kimeru waliosema watamfanya vibaya, Lema huyooo Arumeru!
Lema kapelekwa huko kutishia maisha ya wananchi, huko anajulikana kuwa ni Jambazi sugu.
mpini si aliufata jela,kisha upata huyoLakini kumbuka jembe hutiwa mpini.....!
Iko kazi, jamaa anacheo kikubwa namna hiyo wakati hata mlango wa shule hajui ukoje.Kamanda wa vikosi vya aridhini Brig. Gen. Lema
Ewe mola tuepushe na hili balaaaa! Morani zaidi ya 300 si ni zaidi ya platoon 5! Hivi Moran wa Kimeru wana tofauti na wale wa Kimasai kwa maana ya ubebaji wa silaha kama sime na marungu?