Kamanda Lema ndani ya Arumeru

CCM mlichokoza sasa tumeanza kazi Rasmi, kwanza tumeshinda saa nne Asubuhi kwakutuletea Sumari mtu ambaye amekosa Utu, hata baba yake hajamaliza Arobaini anakimbilia kumridhi mzazi wake, Kweli ccm mmekwisha, Arumeru siyo igunga mseme mtapeleka vyakula vya misaada kule kuna migomba jombii nichakula tosha. Sana sana mahindi tutachukua kwakuwa yamenunuliwa na kodi zetu. Sioi ni mwepesi kuliko hata pamba.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

hapana : nyie tumieni dola sisi tunatumia umma, bila kuwapigia hii staili mtatunyanyasa na mabomu yenu sasa twendeni kazi. Mnadola, usalama wa taifa, chadema tuna nguvu ya umma. Msitulaumu mlaumuni Tendwa mliyemtuma.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Policcm? unataka waombe ulinzi gan? Kama wao wanasubiri had waombwe basi imekula kwao. Ina maana hawakuckia tshio lililotolewa na wale wazee? Lema analindwa na Mungu. Morani wanaongeza nguvu.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Jeshi la Polisi ambalo hata mawaziri(Mwakyembe na Sitta) wanasema hawaliamini nani anataka ulinzi wake?
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

ritz ni wewe au mtu kaingia kwa id yako.huku ni meru bana naarendu.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Polisi gani wewe?..Hawa wanaosema kuwa Mwakyembe hakuwekewa Pollonium-210, ndio unaowaongelea?
Kama ni hao kajifunze kufikiria zaidi!
 
Ewe mola tuepushe na hili balaaaa! Morani zaidi ya 300 si ni zaidi ya platoon 5! Hivi Moran wa Kimeru wana tofauti na wale wa Kimasai kwa maana ya ubebaji wa silaha kama sime na marungu?

Mkuu matatizo haya tunayapata kwa sababu ya watendaji wa aina ya Tendwa wasiojua wajibu wao kwa nchi yetu.
 
ukitaka kujua siasa za:
1.Haki
2.Uwazi
3.kutokuogopana
4.kuchukia na kupinga rushwa.

Hapa arumeru ndo nyumbani kwao.
Rasharasha ndo hizo.mvua itaanza kunyesha mda si mrefu.

Mkuu wangu Arumeru nakuaminia.Na haya hayanishangazi hata kidogo
 
Mkuu hii ni Tanzania wanayoitaka iwe. By the way, kwa mtu aliyepewa dhamana na title ya u-jaji aropoke vile, unategemea watu wenye kuta 28 za elimu maishani mwao wafanye nini?
Shame on you Tendwa.

Mkuu wangu enzi ya Nyerere watu wa aina ya Tendwa waliitwa walevi wa madaraka
 
Back
Top Bottom