Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

Kila siku naona serikali ya ccm inakufaa... wananchi wanaona..... sijui viongozi hawaoni....??? Naona ni mipango ya Mungu, maana wanatenda maovu tu kuwaudhi raia.... sasa kura 2015 itakuwa historia.... ccm itasahaulika...leo hii rais wa Sudan anaanza kulia.... wananchi wakiamka hakuna wa kuzuia.... NAANGALIA UAMSHO ZNZ dalili zote mbaya za ccm kufa may be b4 2015 ziko dhahiri.....

Kamanda wa Operesheni maalum Paul Chagonja amemtisha Dr Ulimboka Stephen kwamba kauli zake juu ya kumtambua ACP Msangi kwamba alihusika kumteka zitamgharimu mwenyewe.
Kamanda Chagonja amesema hakuna hata mtu mmoja anayejua ni nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka na ndiyo maana tume maalum inafanya uchunguzi.
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu Kamishna Chagonja alihoji mbele ya waandishi ''NANI ANA UHAKIKA JE KAMA ALIKAMATWA NA MKE WA MTU NDIYO AKAPIGWA?''

Source:Mtanzania Jumamosi.
 
Hawa mbwa wa Kikwete ni hatari sana nani asiyejua Chagonja ni zaidi ya Zombe ni wauaji hawa msiwaamini
 
Wewe mchangiaji wacha matusi ya kumfananisha kamanda Lema na changojwa, ingawaje Lema nistd 7 lakini ana uwezo wa kujenga hoja.
 
Kwa logic ya kawaida tu - kama kweli Dr. Uli angekuwa amefumaniwa licha ya polisi, si hata magazeti ya Udaku si yangekuwa yameuza sana kwa mapicha na video za fumanizi? Uzuri ni kwamba kwa jinsi watu wanavyopigika kimaisha kuna watu huko huko ndani ya mjeshi watavujisha deal lote! It is just a matter of time!

Walishavujisha mzazi toka jana asubuhi kabla hata Dr hajamtambua Msangi
 
Jeshi La Polisi Marehemu na Makamanda feki kama chagonja ndio eti viongozi yeye anauthubutu wa kuwaambia waandishi wa habari kwamba Kamati ya Polisi muuaji KOva itakuja na ripoti ya kumleta mwanamke na mwanaume wote wakikili kuwa walimfumania Dr Ulimboka akumbuke sisi sio wajinga kama yeye no wonder majitu manene kama yeye huwa yanaitwa stupid fool
 
z`
Kamanda wa Operesheni maalum Paul Chagonja amemtisha Dr Ulimboka Stephen kwamba kauli zake juu ya kumtambua ACP Msangi kwamba alihusika kumteka zitamgharimu mwenyewe.
Kamanda Chagonja amesema hakuna hata mtu mmoja anayejua ni nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka na ndiyo maana tume maalum inafanya uchunguzi.
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu Kamishna Chagonja alihoji mbele ya waandishi ''NANI ANA UHAKIKA JE KAMA ALIKAMATWA NA MKE WA MTU NDIYO AKAPIGWA?''

Source:Mtanzania Jumamosi.

YES Hakuna mtu hata mmoja anayejua ni nani alimteka Dr. Ulimboka kwa sababu hakuna aliyetekwa zaidi ya Ulimboka. So it is nonsense kumbishia aliyetekwa kwa argumant kama hiyo. Kama si kwa Ulimboka mwenyewe kumtambua mbaya wake, mtu mwingine atamtambuaje?? Unless mheshimiwa unaamini/aminishwa kuwa by the time anafunguliwa kitambaa cha macho alikuwa kwenye hali mbaya kiasi cha kushindwa kuona, reason na kutambua. AND
If this is the case basi nawe mheshimiwa ni mtuhumiwa muhimu kwani it seems unazo information za kutosha kama level of consciousness aliyokuwa nayo wakati anafikishwa Mabwepande.

It sucks
 
Huyu hana jipya!

serikali tawala mbinu na njama zao hakika tunayo mfukoni!

Wao wana pesa Sisi tuna MUNGU aliye hai sasa na hata Milele!
 
TATIZO LA CHAGONJA NI KANSA LINALOITAFUNA JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYETU VYA ULINZI NA USALAMA NALO SILO LINGINE BALI 'KUSHINDWA KUFIKIRI NJE YA KUTA ZA VYUMBA WALIVYOMO'

SIYO RAHISI KWA AFISA WA NGAZI YOYOTE YA POLISI ANAYEFIKIRI ZAIDI YA KINGO ZA KUTA LA CHUMBA ALICHOMO KUIBUKA NA KUTOA KAULI KAMA ZA CHAGONJA. LAKINI PENGINE MUNGU NDIYE ALIMSUKUMA KUTOA KAULI KAMA HIZO ILI UKWELI UDHIHIRISHE. LAKINI MUHIMU ZAIDI, KAULI YAKE INAZIDI KUTIA USHAWISHI KUWA TUKIO LA DK ULIMBOKA AIDHA LINA MKONO WA DOLA AU BAADHI YA WATUMISHI WA DOLA WALIOFANYA HIVYO KUJIPENDEKEZA BILA KUTUMWA.

hAIINGII AKILINI KWANINI CHAGONJA AJITOKEZE KUMTETEA MSANGI KUWA HAUKUWA MMOJA WA WATEKAJI KAMA KWELI DK ULIMBOKA ALIMTAMBUA, LABDA CHAGONJA AMBAYE BINAFSI NAAMINI HAFAI HATA KUWA KOPLO WA POLISI KWA UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI ALIONAO ANAWAJUA WATEKAJI NDIO MAANA ANASEMA MSANGI SIYO MMOJA WAO.
 
ndo maana sisomagi riwaya(novel), kwani habari za nchi hii ni riwaya tosha! huna haja ya kutafuta riwaya za akina abunuwas wakati wapo kibao mfano, akina profesa maji marefu, wassira,lowasaa etc
 
Kamanda wa Operesheni maalum Paul Chagonja amemtisha Dr Ulimboka Stephen kwamba kauli zake juu ya kumtambua ACP Msangi kwamba alihusika kumteka zitamgharimu mwenyewe.
Kamanda Chagonja amesema hakuna hata mtu mmoja anayejua ni nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka na ndiyo maana tume maalum inafanya uchunguzi.
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu Kamishna Chagonja alihoji mbele ya waandishi ''NANI ANA UHAKIKA JE KAMA ALIKAMATWA NA MKE WA MTU NDIYO AKAPIGWA?''

Source:Mtanzania Jumamosi.
ina maana hata huyo ulimboka mwenyewe hajui alitekwa na nani??
 
Kamanda wa Operesheni maalum Paul Chagonja amemtisha Dr Ulimboka Stephen kwamba kauli zake juu ya kumtambua ACP Msangi kwamba alihusika kumteka zitamgharimu mwenyewe.
Kamanda Chagonja amesema hakuna hata mtu mmoja anayejua ni nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka na ndiyo maana tume maalum inafanya uchunguzi.
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu Kamishna Chagonja alihoji mbele ya waandishi ''NANI ANA UHAKIKA JE KAMA ALIKAMATWA NA MKE WA MTU NDIYO AKAPIGWA?''

Source:Mtanzania Jumamosi.

.
Chagonja na Msa
ngi hawa thi ni ndugu? Thatha bandugu mmeamua kula deal kuua ma-Dr, halafu mbaki na nani vilaza? Ili iwe je?
.
 
Solidarity should also mean insistence on the rule of law. To close one's eyes to trampled freedoms, to get used to violence, become inured to political murders, is to approve them and accept that there are people deserving of justice and others deserving of oppression." Utapona kaka
 
Back
Top Bottom