Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

Huyo kamanda ana jitetea tu.

Inatakiwa tume huru mambo ya mtuhumiwa kujichunguza ni kazi bure
 
:eek2:Huyo Chagonja amemuoa mwanamke w toka Rwanda na katika jeshi la Polisi ameingiza wanyarwanda wengi sana jeshini humu kupitia mkewe huyo.Kwani Mkewe anachomweleza hakatai. Ushahid upo wa kutosha na askari hao wapo jeshini humu bila kufuata taratibu za uhamiaji. Ni mbabaishaji kwelikweli sijui baba riz alimpatia wapi huyo.
 
Polisi wetu ni wavivu kufikiri, kila kitu wanakiona kama ni kiini macho kwao!! Kamishna mzima kumtisha mtu kwa kumtaja Msangi ni udhaifu katika jeshi la polisi!!!

Kazi waliyo nayo kama polisi ni ku-prove otherwise!!!
 
Kamanda wa Operesheni maalum Paul Chagonja amemtisha Dr Ulimboka Stephen kwamba kauli zake juu ya kumtambua ACP Msangi kwamba alihusika kumteka zitamgharimu mwenyewe.
Kamanda Chagonja amesema hakuna hata mtu mmoja anayejua ni nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka na ndiyo maana tume maalum inafanya uchunguzi.
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu Kamishna Chagonja alihoji mbele ya waandishi ''NANI ANA UHAKIKA JE KAMA ALIKAMATWA NA MKE WA MTU NDIYO AKAPIGWA?''

Source:Mtanzania Jumamosi.

No no no no no Kamanda, yuko mtu mmoja anayejua nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka, huyo mtu anaitwa Dr Ulimboka. Get real!

Kwenye blue: Vitisho haviishi?
 
Huku sasa ni kuingilia mambo na sasa tumsikilize nani, hapo ndipo ninapoamini JK kaiaribu nchi hii kwa kuwaendekeza watu hasa viongozi kutotambua wajibu wao ndio maana utaona waziri vs naibu wake wakipingana sasa Chagonja na Kova tumsikilize nani? Harafu tume imeundwa then anasema Dr. Uli itamgalimu kwani yy ni mjumbe ktk tume mbona anaanza kuhukumu kabla?
 
Katumwa kupoza kidogo wakati ndiyo kwanza anajipaka dhambi mwenyewe!

Hii nchi kwa siasa, wanataka kuleta siasa hata kwenye mambo serious yanayo husu maisha ya mtu.
Hawa police wetu kweli wanatisha kuliko jambazi!
 
No no no no no Kamanda, yuko mtu mmoja anayejua nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka, huyo mtu anaitwa Dr Ulimboka. Get real!

Kwenye blue: Vitisho haviishi?

Mbona mtu akiibiwa analetewa wahalifu awatambue???? What is wrong kwa Dr kumtambua Msangi??? This is ridiculous
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Huku sasa ni kuingilia mambo na sasa tumsikilize nani, hapo ndipo ninapoamini JK kaiaribu nchi hii kwa kuwaendekeza watu hasa viongozi kutotambua wajibu wao ndio maana utaona waziri vs naibu wake wakipingana sasa Chagonja na Kova tumsikilize nani? Harafu tume imeundwa then anasema Dr. Uli itamgalimu kwani yy ni mjumbe ktk tume mbona anaanza kuhukumu kabla?

Ukiona hivyo ujue uchunguzi uliishakamilika sasa vinafuatia vikao vya kuandaa taarifa.
 
Back
Top Bottom