Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 16,852
- 16,750
Kila siku naona serikali ya ccm inakufaa... wananchi wanaona..... sijui viongozi hawaoni....??? Naona ni mipango ya Mungu, maana wanatenda maovu tu kuwaudhi raia.... sasa kura 2015 itakuwa historia.... ccm itasahaulika...leo hii rais wa Sudan anaanza kulia.... wananchi wakiamka hakuna wa kuzuia.... NAANGALIA UAMSHO ZNZ dalili zote mbaya za ccm kufa may be b4 2015 ziko dhahiri.....
Kamanda wa Operesheni maalum Paul Chagonja amemtisha Dr Ulimboka Stephen kwamba kauli zake juu ya kumtambua ACP Msangi kwamba alihusika kumteka zitamgharimu mwenyewe.
Kamanda Chagonja amesema hakuna hata mtu mmoja anayejua ni nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka na ndiyo maana tume maalum inafanya uchunguzi.
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu Kamishna Chagonja alihoji mbele ya waandishi ''NANI ANA UHAKIKA JE KAMA ALIKAMATWA NA MKE WA MTU NDIYO AKAPIGWA?''
Source:Mtanzania Jumamosi.