Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

TATIZO LA CHAGONJA NI KANSA LINALOITAFUNA JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYETU VYA ULINZI NA USALAMA NALO SILO LINGINE BALI 'KUSHINDWA KUFIKIRI NJE YA KUTA ZA VYUMBA WALIVYOMO'

SIYO RAHISI KWA AFISA WA NGAZI YOYOTE YA POLISI ANAYEFIKIRI ZAIDI YA KINGO ZA KUTA LA CHUMBA ALICHOMO KUIBUKA NA KUTOA KAULI KAMA ZA CHAGONJA. LAKINI PENGINE MUNGU NDIYE ALIMSUKUMA KUTOA KAULI KAMA HIZO ILI UKWELI UDHIHIRISHE. LAKINI MUHIMU ZAIDI, KAULI YAKE INAZIDI KUTIA USHAWISHI KUWA TUKIO LA DK ULIMBOKA AIDHA LINA MKONO WA DOLA AU BAADHI YA WATUMISHI WA DOLA WALIOFANYA HIVYO KUJIPENDEKEZA BILA KUTUMWA.

hAIINGII AKILINI KWANINI CHAGONJA AJITOKEZE KUMTETEA MSANGI KUWA HAUKUWA MMOJA WA WATEKAJI KAMA KWELI DK ULIMBOKA ALIMTAMBUA, LABDA CHAGONJA AMBAYE BINAFSI NAAMINI HAFAI HATA KUWA KOPLO WA POLISI KWA UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI ALIONAO ANAWAJUA WATEKAJI NDIO MAANA ANASEMA MSANGI SIYO MMOJA WAO.
 
Hata kama alifumaniwa, si kamtambua aliyemfumania?sasa Changoja yeye kinamuuma nini?Na pia ieleweke Ulimboka ndiye aliyetekwa kwa hiyo ni rahisi yeye kuwatambua waliomteka kuliko yeye "Changoja"Hii inashangaza yaani mtu ambaye hakuwepo kwenye tukio ndio awajue waliomteka?Halafu ieleweke wale watu walifanya kosa la kiufundi kutomfunga kitambaa mapema.
Haya maigizo yote yanayoendelea ni kutuandaa kisaikolojia kupokea majibu wanayotutengenezea.Hii ni janja ya nyani kula mahindi Bichi!
 
Sakata hili ni aibu kwa serikali kushindwa kukabilina na hoja badala yake kutumia mabavu.
 
Hata kama alifumaniwa, si kamtambua aliyemfumania?sasa Changoja yeye kinamuuma nini?Na pia ieleweke Ulimboka ndiye aliyetekwa kwa hiyo ni rahisi yeye kuwatambua waliomteka kuliko yeye "Changoja"Hii inashangaza yaani mtu ambaye hakuwepo kwenye tukio ndio awajue waliomteka?Halafu ieleweke wale watu walifanya kosa la kiufundi kutomfunga kitambaa mapema.
Haya maigizo yote yanayoendelea ni kutuandaa kisaikolojia kupokea majibu wanayotutengenezea.Hii ni janja ya nyani kula mahindi Bichi!

Kwanza mjini siku hizi mwanaume ukifumaniwa watu wala hawakupigi.....wanaoelewa washafahamu namaanisha nn..
 
Hii nchi kwa siasa, wanataka kuleta siasa hata kwenye mambo serious yanayo husu maisha ya mtu.
Hawa police wetu kweli wanatisha kuliko jambazi!
Nchi imejaza vilaza kila kona unadhani kuna la maana!! Mambo wanayofanya ni mambo ya siku zilizopita tena zamani sana wakati huo kulikuwa bado, saizi jambo lolote kiongozi akifanya anajitafutia balaa huko mbele ya safari!! Na wasifikiri haya mambo yanapita hivi hivi! TUNADOCUMENT taarifa. They will be arrest one day, najua pesa mwanaharamu ndiyo inayowafanya hawa viongozi wetu kujisahau na kujiona ni miungu watu!
 
:spy:JAMANI NAFIKIRI BADO HAMJAMTAMBUA CHAGONJA AKILI YAKE YOTE KWA SASA HAIPO KWANI MWANAMKE WA RWANDA ALIYE NAYE ALIMTOA NGARA KWA WAKIMBIZI KWA UFUPI ALIOA MKIMBIZI NA ALISTAHILI KUSHTAKIWA KWA KOSA LA KUBAKA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA UNHCR. HAO NDUGU ZAKE NA MWANAMKE ALIOWAINGIZA KWENYE JESHI LA POLISI WANAMSUMBUA WANATAKA KURUDI KWAO RWANDA NA SWALA JE WATAENDELEA NA UASKARI WAO KULE RWANDA?KUTOKANA NA RWANDA KUWA EAST AFRICA? SASA AKILI YAKE YOTE IMEPOTEA KWA KELELE ZA MKEWE HUYO KWANI ANAMUOGOPA KULIKO MWEMA
 
wakati anakamatwa si alikuwa na watu tena katika public place? hyo anatuletea siasa tu ngoja apone atatwambia vizuri kauli zake na Lema hazitofautiani ingawa lema ni std 7
 
Mnashangaa nini?Tatizo ni huu mhimili,unatumiwa kisiasa zaidi na c vle itakiwavyo..
Hii c kauli ya kwanza kutolewa na hawa jamaa..Ikumbukwe hata issue ya Mwakyembe,mkuu Manumba aliropoka hivihivi hata kabla uchunguzi wa tatizo haujafanyika.. Hii system na huenda ni kitengo maalum cha kimafia kilichoundwa kwa shughuli maalum ili kuhakikisha Nchi inatawalika wapendavyo... Ila watambue kuwa hata MKOLONI hakufikiri kua cku moja angeiacha Africa..
 
Huyo Kamanda shoga atatwambia nini. Hao ndo wauza unga wa Tanzania. Pumbavu zake. Na ajue siku moja atakufa na atazikwa bila hata hayo manguo yake. Wote watakufa tu tena yawezekana atakufa kwa kifo kibaya zaidi walichotaka kimpate Dr. Ulimboka.
 
Kamanda wa Operesheni maalum Paul Chagonja amemtisha Dr Ulimboka Stephen kwamba kauli zake juu ya kumtambua ACP Msangi kwamba alihusika kumteka zitamgharimu mwenyewe.
Kamanda Chagonja amesema hakuna hata mtu mmoja anayejua ni nani alimteka na kumpiga Dr Ulimboka na ndiyo maana tume maalum inafanya uchunguzi.
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu Kamishna Chagonja alihoji mbele ya waandishi ''NANI ANA UHAKIKA JE KAMA ALIKAMATWA NA MKE WA MTU NDIYO AKAPIGWA?''
Source:Mtanzania Jumamosi.
It is now obvious that Chagonja is as stupid as his looks. Am very sorry for all working under his command.
 
Wala hakuwa na sababu ya kucomment kuhusu hiyo, ukweli system inafeli na nchi inakufa hizi funika kombe azitotusaidia.
 
Katika kejeli na kiburi cha hali ya juu kamishna chagonja alihoji mbele ya waandishi ''nani ana uhakika je kama alikamatwa na mke wa mtu ndiyo akapigwa?''
chagonja, kumbuka mwisho wa ubaya ni aibu. Na hutaishi milele acha kuambukuza laana katika kizazi chako. Basi kama alikutwa na mke wa mtu mbona hayakuwa hivyo kwa simbachawene? Kumbuka mungu tunaemwabudu yupo na anatisha
 
Kwa logic ya kawaida tu - kama kweli Dr. Uli angekuwa amefumaniwa licha ya polisi, si hata magazeti ya Udaku si yangekuwa yameuza sana kwa mapicha na video za fumanizi? Uzuri ni kwamba kwa jinsi watu wanavyopigika kimaisha kuna watu huko huko ndani ya mjeshi watavujisha deal lote! It is just a matter of time!
 
Jamani mbona tunachelewa? Baba Helen Bijo Kisimba na wakina Marcosys tunawaamini sana tunachelewa nini kufungulia kesi ya kutaka kuua na hawa wakina Kagonjwa mbwa wakubwa ndio wakawa mashahidi? lakini wananchi si tunaishi nao mtaani hebu operations zianze mara moja
 
Back
Top Bottom