Kamalizwa na nduguye

Kamalizwa na nduguye

"Kamalizwa na nduguye."

Huyo ni ndugu wa namna gani anayetafuta kumhadaa na kumtumia nduguye kusafisha uchafu?

Mwigulu yupo 'desperate' sana na hii nafasi FEKI ya Waziri Mkuu aliyopewa.

Inawezekana ule uwaziri wa fedha alitumika sana kufunika mauchafu mengi kuhusu pesa za nje kuingizwa ndani; ndiyo ikawa zawadi ya Uwaziri mkuu FEKI!
Kuna siku mambo haya yatajifunua tu, watu watajuwa.
Kachezewa shere! Aliwahi kutamka kwamba yeye ndio waziri wa fedha mpaka 2030 na baada ya hapo atagombea urais
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Chukueni hatua yeye mmoja tu mwenye itikadi mbovu ashindane na kanisa lenye mamilion ya waumini never
 
Hii ndo Kauli ambayo ilimuweka Fr Kitima kwenye nafasi ngumu ikabidi atoke adharani, inaonekana baraza la maaskofu walimuuliza kuwa ulienda kuonana na uyu mtu ili kuanzisha maridhiano kwa niaba yetu? Ikabidi jamaa atoke ili aweke kumbukumbu sawa na mbaya akaenda kwenye details zaidi.
Kaamua kujisafisha na kumwachia msala ndugu yake kwa boss wake
 
Kwa hotuba ya jana ya Samuya, amewaweka kwenye wakati mgumu sana wasaidizi wake (mawaziri, wakuu wa mikoa n.k), maana walikuwa washaanza kucheza na saikolojia za watu na kumtenganisha mkuu wao na yale mauaji na kuhalalisha haramu, ila amekuja mwenyewe kavuruga vuruga, sijui watamlinda kwa maneno gani…ndo maana wakati anaropoka pale mbele Nchimbi na Mwigulu waliinamisha vichwa..ni aibu tupu
 
Acha kutumia makamasi kufikiri. Wapi hapo kuna itikadi za kisiasa. Kusema ukweli watu wameuwawa. Ufisadi wa bandari kupitia Dp world. Kuteka watu kama kuku?
Ufisadi wa DP World ni upi?
 
Tanganyika iko mikononi mwetu kuanzia mwaka 1961,lakini Samia ndo maarufu na muuaji wa watanganyika wengi kuliko rais yeyote .

Na haya mambo ndo yamemfanya kitima ajitokeze kukemea.

Acheni kuteka na kuua watanganyika muone kama kitima atapata coverage
Kwa hiyo mnashindana kuua raia wa kila pande? Maana mwaka 2000 kuna wananchi wa Pemba waliuliwa utawala wa Mkapa!!
 
MAUAJI na WIZI siyo SIASA
Unakabiliana vipi na wale mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya Polisi, Ofisi za Mahakama, TRA?? Unafanyaje na magenge ya wachoma moto mabasi na vituo vya Mwendokasi?

Una bunduki halafu unataka kubembeleza watu wanachoma vituo vya mafuta, wanaiba mali za watu kwenye maduka?

Je unajuwa kuwa walijaribu kutaka kuchoma kituo cha kupozea umeme cha TANESCO Ubungo??

Acheni akili za kindezi, risasi za moto ndiyo zimeokoa nchi isiteketee
 
Unaandika kama nguruwe tu anayejuwa kusubiri makombo ya mfugaji wake.!
Hizo siasa za kupambana ziko wapi chini ya shetani Samia?
Jana unaweza kusoma alichoandika nguruwe na wewe ni nguruwe pia. Au wewe ni ngiri?
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
mzee wa daslam unabananga padri, tulia sheikh
 
Wewe hujawahi toa sadaka bwana!
Hata sadaka ya luku na maji hujawahi zidisha buku!
Wewe si mkatoliki!
Mkatoliki halalamiki kutoa sadaka!
Kwake sadaka ni ya kuteketezwa!
Vyovyote utakavyoita huwezi kubadili ukweli. Ninatoa fedha kwenye ibada za misa takatifu na michango maalumu inayoitishwa
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Kiongozi wa kiroho anapojitokeza hadharani kukushauri uache matendo yako maovu, anakuwa amekusaidia. Sasa inakuwaje mnamchukia?

Kwani dhuluma, utekaji na mauaji ya raia havijashamiri kwenye jamii yetu? Ni nani wa kuwasemea wananchi wanao onewa na dola ovu kama siyo viongozi wa dini? Au mnafikiri kila kiongozi wa dini ananunulika na hivyo kumuweka mifukoni mwenu?
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Kwa ufupi huna akili na TEC haiyumbi yani kama unaamini ni mwaminifu ndivyo TEC hata msemaje na huyo gaidi wenu. Kitu asichojua ni kwamba wakatoliki ni kama maji hakuna mahali utawakosa hivyo mwende nao kwa tahadhari
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa

Zamani mambo ya utekaji yalikuwa machache mno sasa hivi yamekuwa mengi kupitiliza, ndiyo maana Father Kitima ni maarufu kwa kuyapinga kwa nguvu zote.
 
Kwa hotuba ya jana ya Samuya, amewaweka kwenye wakati mgumu sana wasaidizi wake (mawaziri, wakuu wa mikoa n.k), maana walikuwa washaanza kucheza na saikolojia za watu na kumtenganisha mkuu wao na yale mauaji na kuhalalisha haramu, ila amekuja mwenyewe kavuruga vuruga, sijui watamlinda kwa maneno gani…ndo maana wakati anaropoka pale mbele Nchimbi na Mwigulu waliinamisha vichwa..ni aibu tupu
huo ni mwanzo tu ogopa sana damu zisizo na hatia hasa watoto kuzaliwa ni mpango wa Mungu hakuna anayeweza kupambana na Mungu
 
Kwa hotuba ya jana ya Samuya, amewaweka kwenye wakati mgumu sana wasaidizi wake (mawaziri, wakuu wa mikoa n.k), maana walikuwa washaanza kucheza na saikolojia za watu na kumtenganisha mkuu wao na yale mauaji na kuhalalisha haramu, ila amekuja mwenyewe kavuruga vuruga, sijui watamlinda kwa maneno gani…ndo maana wakati anaropoka pale mbele Nchimbi na Mwigulu waliinamisha vichwa..ni aibu tupu
Mie huwa najiuliza kuwa hotuba si anaandikiwa? Vipi huwa hazichujwi kabla ya kufika sehemu ya kutamkwa? Je yeye binafsi hawezi chuja ni atamke na nn aache??
 
Back
Top Bottom