Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki😀🙌🏿
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwa ilikuwa ni personal consultation
Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!😎
Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana
Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!
Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?
View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/