Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,803
- 29,305
Huyu amekula sadaka mpaka amevimbiwaSadaka zinatolewa ili padri ale vizuri, ashibe na akemee uovu popote pale unapotendeka,unapofikiriwa na unapopangwa kwa maslahi mapana ya roho za binadamu zenye utambuzi wa MUNGU ndani yao.