Goheki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 448
- 387
FAINALI YA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO hapa Tanzania, KAMA NCHI TUNAJIUZA VIPI? JE YANGA NYINYI MMEJIPANGAJE?
Nionavyo mimi tunatakiwa kuitengeneza hii fainali iwe ni PACKAGE. Isiwe tu kwenda uwanjani kuangalia mpira na kuondoka.
Kama nchi, We must go Extra miles. Hii fainali ni bidhaa kwetu, we must make sure tunauza the best product sokoni. Na walaji wa hii product wapo StandBy wanasubiri kuona nini tutawaletea sokoni.
Bidhaa yoyote lazima iwe na Value (Thamani) Excitement (Msisimko) & Experience inayo offer kwa mtumiaji (Shabiki).
Je huyu mgeni anaekuja Tanzania au shabiki wa hapa Tanzania, ataona nini cha tofauti kuelekea hii fainali ya tarehe 28 May hapo Taifa?
Ni lazima tuwape ‘Suprise’ ya msisimko Wapenzi na Mashabiki wa Soka wote hapa Tanzania na wanaotoka nje ya nchi. Narudia tena, kama nchi we MUST play our cards right. Tusiende kimazoea. Tutaaibika.
We must create the sense and feeling of the FINAL before the FINAL. Tuiamshe nchi kutoka usingizini kupitia hii fainali. Hata mtoto mdogo wa miaka mitano aweze kuhamasika kuelewa kuwa tarehe 28 May 2023 kuna jambo letu uwanja wa Mkapa.
Na haya yote yanatakiwa kufanyika siku 5 kabla ya fainali. Namaanisha kuanzia Jumatatu next week.
Think tanks wa Serikali.
Think tanks wa TFF.
Think tanks wa Yanga Afrika.
Amkeni, Amkeni. It’s our time. Tupeni the BEST EXPERIENCE ya hii fainali. Tusiende kwenye hii fainali kimazoea, tusifanye hii fainali kwa mtindo wa #SokaLetuKivyetuVyetu.
Je nini kifanyike? Nionavyo mimi;
1. Branding
Njia zote kuu na round abouts za hapa Dar ziwe branded kwa Creative artworks za Kibabe, na mbili, za Yanga & Tanzania. Billboards za pembezoni mwa barabara kuanzia Airport, Posta, Mwenge, Kariakoo, Ubungo kote huko iwe ni Yanga, Tanzania n.k Let’s brand our country with a visual representation ambayo hata wageni wakitua airport wanaelewa kuwa fainali ipo Tanzania
2. Documentary. [ Video & Audio ]
Tuipe thamani ligi yetu Tanzania, na klabu ya Yanga. Asset videos zipo Yanga tangu anaanza hatua ya mwanzo kombe la shirikisho mpaka sasa inafika final. Itengenezwe full documentary video ikielezea safari ya Yanga mpaka ilipofika sasa. Hii documentary ihusishe baadhi ya clips za muhimu kuhusu Ligi ya Tanzania na influence ya Azam kwenye kuboresha soka na kuleta hamasa. Hii documentary itakayokua kwenye mfumo wa videos & Audio zichezwe kwenye vituo vikubwa vya radio na Tv, huko Instagram pages zote za udaku, na online medias zichafuke contents za Yanga na Tanzania kwa wiki nzima kuelekea fainali.
3. Husisha wasanii wote na wanamuziki wanaoisapoti Yanga waweze kuPush contents za Yanga mitandaoni for five days. Wasaidieni kwa kuwapa engaging contents. Wasanii hawa na waigizaji wana wafuasi wengi. Mtaua ndege wawili kwa jiwe moja. Lengo hapa ni kuifanya fainali iwe ndio ajenda pekee wiki nzima.
4. Daladala zote dar zipatiwe bendera za yanga na tanzania zifungwe kulia na kushoto kwenye magari ziwe zinapepea wiki nzima. Hii itaamsha hisia na mizuka isiyo na kipimo.
5. TFF, wizara ya michezo washirikiane na yanga. Airport ndani mule kote zitapakae branded contents kuhusu yanga na hii fainali ya shirikisho.
Mgeni yeyote akija ajue jumapili kuna jambo linafanyika kwa mkapa. Tusikae kinyonge kama kuku mwenye mdondo.
Hii Platform ya fainali tuliyoipata kwa sasa inaweza isitokee mpaka baada ya miaka 10 au 20 ijayo. Kama nchi tuitumie hii nafasi KUJIUZA to the Maximum.
Nisiandike sana, nikawachosha. Muda mchache na mambo ni mengi. Kama kuna la msingi kwenye hili andiko naomba lichukuliwe lifanyiwe kazi.