Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

Dakika 45? Mimi Ningewashauri hao wana usalama wawaondoshe watu wote ambao wapo eneo ambalo inasemekana kuna hilo bomu. Wataweza kuzitumia hizo dakika kuwaondosha bila mathara kuwapata watu hao. Wala hakuna haja ya kumfufua huyo mtu kwa haraka.
 
Nmfanyia operation mtuhumiwa wa bomu aseme wapi amelitega

am sorry mume wangu kipenzi atasubiri......
 
Wewe unabisha kwa sababu mind yako umeipeleka kwenye kubisha. Kipi rahisi, kupiga simu au kubroadcast wanafunzi wote watoke mashuleni au kugamble na mgonjwa ambaye chances za kuzinduka only God knows.

Anyway enjoy your arguments. I am out of here.

Haya ni mawazo yako tu

Kila la kheri uendako!
 
Dakika 45? Mimi Ningewashauri hao wana usalama wawaondoshe watu wote ambao wapo eneo ambalo inasemekana kuna hilo bomu. Wataweza kuzitumia hizo dakika kuwaondosha bila mathara kuwapata watu hao. Wala hakuna haja ya kumfufua huyo mtu kwa haraka.

Mkuu,hakuna muda wa kushauriana hapo

Tangu atoe hiyo taarifa hadi anafikishwa hospital kwako muda ushapita na kitendo cha kuendelea kuzungumza ni kupoteza muda!
 
Ingekuwa na kauzito kama shule hiyo ndo kanasoma katoto kako afu kamoja then mkeo alishathibitishwa kuwa hawezi kuzaa tena! Mmmmh! Majanga!!

Tena sio mkeo bali ni wewe (Daktari) uwezo wa kumpatisha mwanamke mimba hauopo tena kutokana na maradhi au ajali uliyoipata

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani stori za zamani, kipindi hicho bibi yako au babu yako anakupima uwezo wako wa akili
 
Nmfanyia operation mtuhumiwa wa bomu aseme wapi amelitega

am sorry mume wangu kipenzi atasubiri......

Wengine wangekuwa wanaelewa kama wewe ingekuwa rahisi sana kuelewa maamuzi ya watu

Watu wanatafuta justification kwa kuhofia kuboronga kwenye maamuzi yao

Sasa ICHANA ,ungemuacha honey "adedi" hivi hivi?
 
Last edited by a moderator:
Moja,kinachotkiwa hapa ni uamuzi sahihi na sio kingine
Pili,tangu aseme kuwa bomu litalipuka baada ya dakika 45 hadi amefikishwa hospital tayari muda unakwenda,utaweza kuwaondoa watoto kwenye shule zote kwa muda huo?

Inaonekana unaogopa utakachokiamua hapa binti!

Kwenye kesi hii, nivigumu kuokoa hao watoto hata kama muusika akisema shule, mfano within 45 mnts akawa hajaamka, au je akiamka 10 mts before the time? Itachukua muda gani kufika katika shule atakayo taja? Muda wa kutegua bom? Hata angetoa jibu la mahali wakati uleule isingesaidia kwa 45 mnts kuweza kufika na kutegua hilo bom( kutegemeana na umbali alipo kamatwa na umbali wa hospital alopelekwa)
 
It doesn't matter kama ataamka au itashindikana,hapa tunachoangalia ni uamuzi wako baasi

Unashindwa kufikiri pia hata kama utaamua kumtibu mwenzi wako anaweza kufariki pia!
 
Binafsi ntamtibu gaidi kwanza ili niokoe roho za watoto walio wengi....maana matokeo ya kumtibu mume na kumwacha jambazi unaweza kupoteza kazi yako kwani utaonekana unafanya kazi kwa kuongozwa na hisia hata jamii haiwezi kukuelewa hata kidogo....wacha mmoja aende wengi wapone
 
He will be a fool akimkimbilia huyo wa bomu, mbona hata hao wanausalama wanaelewa kuna personal conflict hapo.
 
mimi nitahakikisha wakati wa kampeni nawahamasisha wananchi wasiwapigie kura ma-CCM. Haiwezekani daktari bingwa akawa mmoja tu huu ni udhaifu mkubwa sana wa uongozi wa Ma-CCM.
 
Binafsi ntamtibu gaidi kwanza ili niokoe roho za watoto walio wengi....maana matokeo ya kumtibu mume na kumwacha jambazi unaweza kupoteza kazi yako kwani utaonekana unafanya kazi kwa kuongozwa na hisia hata jamii haiwezi kukuelewa hata kidogo....wacha mmoja aende wengi wapone

Umewaza mbali sana

Lakini,vipi kama hautafukuzwa kazi?
 
namtibu kwanza wife,huyo jambazi kama katega bomu kwa watoto namwambia mkuu ahakikishe watoto waliopo shule zote za hapo karibu waondoke nyumbani ili likilipuka lisimpate mtu
 
mimi nitahakikisha wakati wa kampeni nawahamasisha wananchi wasiwapigie kura ma-CCM. Haiwezekani daktari bingwa akawa mmoja tu huu ni udhaifu mkubwa sana wa uongozi wa Ma-CCM.

Kampeni later ........
Sasa tunataka maamizi yako kwenye hili suala,ungefanyaje mkuu?
 
namtibu kwanza wife,huyo jambazi kama katega bomu kwa watoto namwambia mkuu ahakikishe watoto waliopo shule zote za hapo karibu waondoke nyumbani ili likilipuka lisimpate mtu

Mkuu hebu soma tena mada ili uone mazingira ya bomu!
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom