Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kibiashara

munroe

Senior Member
Apr 3, 2019
101
68
Ng'ombe wa maziwa ni fursa kubwa katika mikoa mingi Tanzania ni mradi unaojiendesha na una return kubwa endapo utafanya usimamizi na uwekezeji mzuri
Endapo unapenda ufugaji na unahitaji kuanza kufuga zingatia yafuatayo

Fanya utafiti kuhusu
* Soko la maziwa katika eneo ulilopo
*Hari ya hewa na aina ya ng'ombe wanaoweza kustahimili
  • Umri na idadi ya ng'ombe utakao anza nao mfano ndama, mitamba,wenye mimba au wanaokamuliwa.
  • Sehemu utakapo pata ng'ombe hao pamoja gharama na usafiri
  • Namna ya kuwa tunza na chakula
*mpangilio wa banda bora.

SEHEMU YA KUPATA NG'OMBE WAZURI KWA BEI NAFUU
Mbeya Rungwe ndo sehemu inaosifika kwa tanzania nzima kuwa na ng'ombe wazuri pure breed na chotala wanaoweza kustahimili mazingira tofauti ya nchi
Ng'ombe wanaopatikana na wanaofanya vizuri kwa uzalishaji ni Friesian, Ayrshire, jersey, semmental, redpoll, brown swiss

Bei za mifugo hii Rungwe ipo chini kulingana na bei ya maziwa ambayo yanauzwa 700 hadi 800 kwa lita.

Endapo utakuwa unapenda kufuta dairy cattle usisite kututembelea shambani kwetu Rungwe mbeya utapata ng'ombe wa zuri kwa gharama nafuu pamoja na kukuhakikishia usafiri mpaka mahala unapo peleka tutafute kwa namba hizi 0756416149

Unaweza kutucheki WhatsApp kwa namba hiyo kwa picha zaidi.
IMG_20231114_182354_933.jpg
IMG-20231113-WA0011.jpg
IMG-20231105-WA0000.jpg
 
Mkuu vutia uzi wako weka bei ya ng'ombe wako kama unawauza mitamba au wenye mimba.
 
Maziwa ya ng'ombe kuwa na mafuta mengi husababishwa na Nini? Je ni tatizo endapo maziwa yanayokamuliwa kuwa na mafuta mengi?
 
Back
Top Bottom