stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,905
- 14,671
Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali,
"Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena"
nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu, japokua unaweza kuleta mada kwamba tayar anazo hivo hana shida lakini uhalisia wa maisha ni, PESA ni siasa na hutengenezwa mda wowote zinapohitajika, fikiria kwenye mfumo huu, tuseme mm nmeenda msituni nkachuma majani mengii nkasema kuanzia saahv ukiwa na haya majani ndo unaenda mjini,, utakua mrahisi kudandia kupata hayo majani bila kuangalia picha ya nyuma kwamba hata mm naweza kwenda msituni kupata majani hayo hayo ambayo ningeyapata kwa huyo jamaa kwa sheriia kadhaa! hivi ndivo maisha ya wengi yanaendeshwa tafauti ya hayo majani na uhalisia ni majani ya saahv yana rangi rangi nyingi na namba kupima nan achukue majani mengi zaidi,
Usitumie mda wako mwingi kusubiriia promoshen za ofisini upate mshahara mkubwa, usiwe mzazi ambae kazi yake kutuma ela badala yake kua mzazi kwel