Kama una uwezo huu usikimbilie Majuu!

Kama una uwezo huu usikimbilie Majuu!

Ukipata kazi cha muhim piga na part time job, osha hata vyombo, fagia barabara, fua nguo za hospital, kwa mda wa ziada fanya kazi za watu za ku type, mshahara pekee hautoshi ulipe bed space au hostel, Alafu ule ,u save Alafu ujenge home
Mbona ntachoka sana...huko hata kama umeajiriwa si unafanya kwa masaa kadhaa? Au ndo kibongobongo saa 8:00 am hadi 1600hrs??
 
Bongo Raha mstarehe, komaeni hapahapa Bongo mtatoka
 
Mbona ntachoka sana...huko hata kama umeajiriwa si unafanya kwa masaa kadhaa? Au ndo kibongobongo saa 8:00 am hadi 1600hrs??
Ndiyo tumekuja kuchuma huku ili muda ukifika tulie kivulini Tanzania
 
Katika harakati za maisha Mara nyingi kila mtu anaona bora nchi hii ama ile!ndio maana utakuta wachina wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia China,Wakenya wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia Kenya!

Ili mradi kila mtu ameona nikienda sehemu Fulani basi naweza kufanikiwa.

Lakini Leo kwa ushauri tu wa bure kama unaweza kumake 1milion tsh kwa mwenzi ukishaondoa matumizi yako na elimu yako ni ya kawaida ama huna kabisa trust me Ulaya kama hujaenda shule ni kazi bure!

USD 10 kwa saa inaonekana kubwa lakini kiuhalisia ni kupaka rangi upepo
Duh hapo 10 Usd kwa saa na unafanya masaa mangapi?

Maana kama utafanya kazi kwa masaa nane kwa siku unakuwa na 176,000/= kwa siku .

Kwa mwezi inakuwa kitu kama million 5 laki mbili na 80 hivi. Hiyo ni ndogo?

Au watushauri vipi!?

Wewe wafanya kazi gani na matumizi yako yapo vipi. Mada yako inaonesha we wafanya kazi abroad.
 
Katika harakati za maisha Mara nyingi kila mtu anaona bora nchi hii ama ile!ndio maana utakuta wachina wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia China,Wakenya wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia Kenya!

Ili mradi kila mtu ameona nikienda sehemu Fulani basi naweza kufanikiwa.

Lakini Leo kwa ushauri tu wa bure kama unaweza kumake 1milion tsh kwa mwenzi ukishaondoa matumizi yako na elimu yako ni ya kawaida ama huna kabisa trust me Ulaya kama hujaenda shule ni kazi bure!

USD 10 kwa saa inaonekana kubwa lakini kiuhalisia ni kupaka rangi upepo
UK kima cha chini kabisa kumlipa mtu kwa saa ni £7... yaani hata mfagiaji tu analipwa hela hiyo...

ambapo kama mtu unafanya kazi masaa 8 kwa siku jumla ni £56

kwa week let say unafanya kazi siku 5 jumla ni £280

kwa mwezi ni £1120 ambapo kwa hela zetu ni above 3M.... hata kama kodi watamkata nusu ya hiyo 3M bado anabaki na hela nyingi sana....

Tell me mfagiaji bongo hii analipwa sh. ngap??? Bongo nyoso...

Utaspend maisha yako yote kunishawishi kwamba ni bora kubaki Bongo kuliko kuishi nje....
 
Shida moja mkuu, upataji wa hela hiyo hapa Tz ni wa kimagumashi tupu!! Nina Mkinga jirani yangu alinishauri nianze duka la hardwares kama yeye. Alisema linalipa sana. Tukafikia hatua nikitaka anionyeshe cash flow yake na logistics za kodi nk. Duuh, tulianza kuwa maadui kuanzia hapo.. Baadae, nikapata story zake,nilichoka!
Mtz akikuambia biashara hii inalipa,usiparamie,au ukikaa Tz inalipa kuliko nje, jiridhishe kwanza.
kiongozi hardware inalipa kweli inategemea uko sehemu gani. hayo ulioyotaka hata kama ni mimi lazima uwe adui yangu. bongo bila magumashi mambo hayaendi ulitaka kugeuka afisa wa tra
 
Mkuu, hivi mtu anaweza kwa kukuambia tuu, fuga kuku utanunua gari(Alteza) na ukaanza kichwakichwa? Lazima umdadisi zaidi,na uone mfano halisi kwake kama yeye aliweza. Kama ni muwazi,mtaingia kwenye records zake kuona gharama za uwekezaji,pia mapato na matumizi ( cashflow)! Kama hawezi, jua ni magumashi!!!! Huyo utakuta mchana yuko kwenye banda lake pale Makambako,usiku yuko Tunduma mpakani, asbh yuko Makambako kwake anakunywa chai. Umenipata?
 
kama ni hivyo sawa ila ungeenda nae slow. maana maswali yako ni mazito kwa mfanya biashara yeyote
 
Katika harakati za maisha Mara nyingi kila mtu anaona bora nchi hii ama ile!ndio maana utakuta wachina wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia China,Wakenya wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia Kenya!

Ili mradi kila mtu ameona nikienda sehemu Fulani basi naweza kufanikiwa.

Lakini Leo kwa ushauri tu wa bure kama unaweza kumake 1milion tsh kwa mwenzi ukishaondoa matumizi yako na elimu yako ni ya kawaida ama huna kabisa trust me Ulaya kama hujaenda shule ni kazi bure!

USD 10 kwa saa inaonekana kubwa lakini kiuhalisia ni kupaka rangi upepo
Shule gani hiyo? Fafanua ndugu
 
Mjomba mleta hii sledi naona unapotosha watu kiaina. Kama ulikaa kiwanja ukawa goigoi. Basi hayo ni matatizo yako. Watu tunapiga mpka buku 4 mnyamwezi kwa mwezi. Usiongee pumba. Unawakatisha watu tamaa wasisafiri! Mkaanga sumu wewe? Mil 1 ya bongo ni mshahara wa siku 2 mtoni! Usiongee uzushi. Safirini ndugu zangu. ..uwe na digrii au uwe huna kila mtu ana nafasi yake kiwanja. Tafuteni safari ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom