Promises are comfort to a fool
Mi nadhani utamu ni kule kuhishi in 'gangs'.
Mnakutana na kuspend quality time live together.
Leo teens wanahishi kwa kuwasiliana mara BBM,
Mara Facebook na Twitter etc, saa za kua pamoja live ni chache...
But some still have great times...
Promises are comfort to a fool
Mkuu hapa kasema yote..Kwa hiyo?
Mkuu, lets cop with time. Wakati ukuta. Enzi zetu tulitumia slide ruler, sasa iyo kitu haitumiki, I mean it is out of date, and we can't use it anymore; why? Wale wanaofikiri sana, wanabeba majority ktk kizazi hiki hali inayopelekea watu kuwa spoon feeded. All in all we have to accept changes as far as technological advancement is concerned.
Mkuu fikiria furaha unayoipata pale unapotengeneza manati yako, then unaingia mawindoni na unamtungua ndege unamkamata, au unatega mtego unakamata ndege wako.Ilikuwa raha sana, vijana wa sasa hata manati hawazijui!!!kizazi cha sa ivi hamna wawindaji wa ndege