Kama umezaliwa miaka ya 1970 na 1980...

Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,480
325
Born in 1970's and 1980's.jpg angalia kizazi cha sisi tuliozaliwa miaka hiyo
 
Hizo zama zilikuwa tamu sana kuliko hizi za sasa. ili uishi ulihitaji akili sana na sio kila kitu kimerahisishwa km sasa
 
Mi nadhani utamu ni kule kuhishi in 'gangs'.
Mnakutana na kuspend quality time live together.
Leo teens wanahishi kwa kuwasiliana mara BBM,
Mara Facebook na Twitter etc, saa za kua pamoja live ni chache...
But some still have great times...
 
kweli kila kitu ilikuwa live, nakumbuka nilikuwa nikitingeneza mwenyewe toy za magari kwa kutumia maganda ya betri kama bodi na matairi ilikuwa tunakata ndala zilizochakaa unazunguza duara tena bila hata vipimo. ni kiwembe cha kuokota tu ama umeiba kisu nyumbani
 
Mkuu, lets cop with time. Wakati ukuta. Enzi zetu tulitumia slide ruler, sasa iyo kitu haitumiki, I mean it is out of date, and we can't use it anymore; why? Wale wanaofikiri sana, wanabeba majority ktk kizazi hiki hali inayopelekea watu kuwa spoon feeded. All in all we have to accept changes as far as technological advancement is concerned.
 
Mi nadhani utamu ni kule kuhishi in 'gangs'.
Mnakutana na kuspend quality time live together.
Leo teens wanahishi kwa kuwasiliana mara BBM,
Mara Facebook na Twitter etc, saa za kua pamoja live ni chache...
But some still have great times...

Kwa hiyo?
 
Kwa hiyo?
Mkuu hapa kasema yote..

Mkuu, lets cop with time. Wakati ukuta. Enzi zetu tulitumia slide ruler, sasa iyo kitu haitumiki, I mean it is out of date, and we can't use it anymore; why? Wale wanaofikiri sana, wanabeba majority ktk kizazi hiki hali inayopelekea watu kuwa spoon feeded. All in all we have to accept changes as far as technological advancement is concerned.
 
kizazi cha sa ivi hamna wawindaji wa ndege
Mkuu fikiria furaha unayoipata pale unapotengeneza manati yako, then unaingia mawindoni na unamtungua ndege unamkamata, au unatega mtego unakamata ndege wako.Ilikuwa raha sana, vijana wa sasa hata manati hawazijui!!!
 
Duhhhh!umenikumbusha vitu vingi sana mkuu.
1.Wakati huo nilikua nikiishi maeneo ya musoma vijijini sehemu moja INAITWA BUGWEMA,shule ilikua umbali wa km 7 hv.
Tulikua tukitoka shule unakuta home kuna chungu kikubwa ambacho umebakiziwa viazi/maboga/njugu/karanga/maziwa mtindi,pembeni kuna ugali wa mtama mix na muhogo/sato wa ukweli duhhhh!e bwana ndio.
 
Those times, those wonderful times will never echo again. If you were not around, there are no words to describe those times,.., those wonderful times.

Sitaacha kukumbuka pilika pilika zetu majalalani kutafuta betri zilizotupwa, tukazipondaponda, kuzianika na kuziviringinga kwenye karatasi ngumu ilimradi jioni magari yetu tuliyojitengenezea kwa mabati, mbao na kandambili yawashe taa kama Simba Luwala na The Blog Mayai.

Ni nyakati zile tulicheza kombolela na kidari tukifukuzana mitaani bila viatu. Lakini we were very happy. Shuleni tulikula mihogo na sun vita na si soda kwa chips kama leo. The last generation to listen stories from grandpas and grandmas.

Naona wengine wana criticize those happy memories, as we could not be quite seeing those white birds crossing our horizons without helping us to make our fingernails white...so many to say about those days....the days that will never come back again.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom