Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
rafiki bora umelisemea hili.....tuache masihara, kwa hilo kwasasa nadhani tunaongoza, esp wamarangu!
huyo sasa alipitiliza, lol!Wacha huyo aliefiwa na kaka yake nilikuwa na jirani yangu mmoja alifiwa na baba yake mzazi wakaenda kuzika na mumewe kwenye kurudi alirudi mumewe
Stor mke alifumaniwa na mume wa mtu wakivunja amri ya sita
rafiki nimeshaeleza kwenye post nyingi kuwa aliulizwa na akasema ni kaka wamezaliwa na mama na baba mmoja, siyo hata hafl brother..... nini wa kutoka naye kijiji kimoja!huenda hakuwa kaka yake wa kuzaliwa; tunaitana makaka na madada hata kama tumetoka kijiji kimoja. Ni vigumu sana kwa kaka toka nitoke ukapata nguvu wala akili ya kwenda saloon.
Anyway, najua nini msyamba mimi wa Sikonge niliye lowea buha!
alisema aliugua siku 2 tu akafa.......Khaaaaaaaaaaaa!!!! WALIKUWA WANAJUA ATAKUFA? MAWEEEEEE! Mh! INAWEZEKANA ILIKUWA HARUSI, MAANA KUFIWA KUNATIA UCHUNGU ILE MBAYA.
Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate....
wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa kucha, kope, nyusi, n.k.
mara simu ya mrembo ikaita, maongezi yakaanza..... "yaani we acha tu, ndo mambo ya dunia lakini, Tunamshukuru Mungu..... asante sana....
tunaaga kesho mchana na safari ya kwenda Moshi kwa mazishi itaanza baada ya kuaga, kweli tutammiss sana kaka yetu....."
baada ya hapo maongezi yakawa yanaendelea akawa anasimulia kuwa kakake kabisa kafariki, kaumwa siku 2 tu kafa.....
sijui ndo ukijijini au ushamba wangu! kweli nilisikitika sana.....
sipati picha kakangu anafariki, mimi naweza kuwa na nguvu kwenda salon kujipiga msasa ili niende kuzika kakangu au ndugu yangu wa karibu.
Nikajiuliza mambo mengi sana.
1) ni kwamba watu siku hizi wamezoea sana misiba kiasi kwamba wanaona ni kitu cha ajabu tu kufiwa?
2) watu hatuna uchungu tena na ndugu zetu?
3) u-kisasa unatufanya tuwe hivyo?
kweli mahusiano na ndugu/jamaa/marafiki yamepungua kiasi hiki mpaka tunachukulia misiba ya ndugu zetu kirahisi namna hii?
huu msiba wa moshi nilikuja kusikia marafiki wa karibu wa mke ndio walimshauri apigilie haswaaa coz mume alikuwa na mahawara kila kona so msiba utajaa mahawara na yeye anatakiwa aonekane wa mujini kama hao mahawara, yaani nilikoma mwenyewe, yule dada ana roho ngumu sana sana, sikutegemea mume wako wa ndoa amefariki ghafla kwa ajali bado upo kivile? wengine tungefungwa na kamba kabisa nadhani, khaaa

hiyo roho ngumu balaa....huu msiba wa moshi nilikuja kusikia marafiki wa karibu wa mke ndio walimshauri apigilie haswaaa coz mume alikuwa na mahawara kila kona so msiba utajaa mahawara na yeye anatakiwa aonekane wa mujini kama hao mahawara, yaani nilikoma mwenyewe, yule dada ana roho ngumu sana sana, sikutegemea mume wako wa ndoa amefariki ghafla kwa ajali bado upo kivile? wengine tungefungwa na kamba kabisa nadhani, khaaa
Unasema kweli kabisaaaaaYaliyotabiriwa kuwa siku za mwisho watu watajipenda wenyewe na kupenda pesa kuliko Mungu ndio huu sasa. hakuna anayesikia huzuni kuona nduguye kafa, akifa wataharakisha kuzika na kusambaa kwenye starehe zao
ni wacha Mungu peke yao ndio wana uchungu na kila mtu anayekufa na sio vinginevyo
Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate....
wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa kucha, kope, nyusi, n.k.
mara simu ya mrembo ikaita, maongezi yakaanza..... "yaani we acha tu, ndo mambo ya dunia lakini, Tunamshukuru Mungu..... asante sana....
tunaaga kesho mchana na safari ya kwenda Moshi kwa mazishi itaanza baada ya kuaga, kweli tutammiss sana kaka yetu....."
baada ya hapo maongezi yakawa yanaendelea akawa anasimulia kuwa kakake kabisa kafariki, kaumwa siku 2 tu kafa.....
sijui ndo ukijijini au ushamba wangu! kweli nilisikitika sana.....
sipati picha kakangu anafariki, mimi naweza kuwa na nguvu kwenda salon kujipiga msasa ili niende kuzika kakangu au ndugu yangu wa karibu.
Nikajiuliza mambo mengi sana.
1) ni kwamba watu siku hizi wamezoea sana misiba kiasi kwamba wanaona ni kitu cha ajabu tu kufiwa?
2) watu hatuna uchungu tena na ndugu zetu?
3) u-kisasa unatufanya tuwe hivyo?
kweli mahusiano na ndugu/jamaa/marafiki yamepungua kiasi hiki mpaka tunachukulia misiba ya ndugu zetu kirahisi namna hii?
nilienda kwenye msiba wa baba wa rafiki nikakuta mama anaburudika na muziki wa Yesu, hii ilikuwa kidini zaidi..... hakuna kulia ni kuburudika tu kuwa kaenda kwa Baba..... nilijishangalia, lol!Huko tuendako tutaanza kucheza miziki kwenye nyumba zenye misiba ya wapendwa wetu!
Aliyefariki na riziki yake ishaisha, siye tuliyobaki hatupaswi kusikitika bali kumshukuru Mungu maana hata uwepo wake hapa duniani ni maanni amejaalia, hata kama nikilia na kusaga meno katu sitomrejesha na ndio maana baadhi ya makabila hufanya sherehe pale mwanafamilia anapofariki. Hii ina maana gani? Ni kumshukuru Muumba maana mema na mabaya yote yanatoka kwake, hivyo kujikwatu nakujipara ni kutumia fursa ya kuondokewa ili kujiwezeshashosti kweli mwenzio wabush....
lakini ndo utafanya hivyo unapofiwa na kakako/dadako/mamako/babako/mume/mtoto?
kwenye msiba wa jirani jipaaaare mpaka uwe wa madoadoa....
networking kwenye mazishi ya nduguyo!
ha haaa, pole rafiki....aisee, nimekuja uzi ukiwa mrefu so nilishindwa kupitia kila kitu; my bad!
so ukisema niwaulize wachaga, maana yake it is a normal thing au? help me there maana uzi ni mrefu sana kupitia each and every post it will take all my time and l had a long day today.
shosti sasa zile kanga ulizoniahidi nitazivalia wapi? au ndo ulikuwa unanichuuza mtoto wa mwenzio ili nionekane nimetoka namabengo jana?Mi huwa nachoookaaaaaa! Kwanza swala la khanga naona very soon litakufa, sijui kwa kweli twaelekea wapi!
noted maama.....Aliyefariki na riziki yake ishaisha, siye tuliyobaki hatupaswi kusikitika bali kumshukuru Mungu maana hata uwepo wake hapa duniani ni maanni amejaalia, hata kama nikilia na kusaga meno katu sitomrejesha na ndio maana baadhi ya makabila hufanya sherehe pale mwanafamilia anapofariki. Hii ina maana gani? Ni kumshukuru Muumba maana mema na mabaya yote yanatoka kwake, hivyo kujikwatu nakujipara ni kutumia fursa ya kuondokewa ili kujiwezesha