Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
he he heee, shosti kama nakuona na mavitenge yako, lol!
yaani mimi mpaka niliogopa, nikaanza kufikiria mbali sana.
sipati picha hata kama aliyefariki ni bibi au mjomba nitinge hivyo mbona ukoo watanitenga!
Uombe Mungu hayo mambo yakukute ulishatinda nyusi zako, kama una brush mbona utabaki na brush yako mpaka mmalize kuzika
ha haaa, baada ya mazishi hakwenda kuoga? alikaa na hiyo make up kwa siku ngapi?looo, kuna mmoja nilienda moshi, mkaka wa TRA, mke alituvalia mchuchumio na mbano, ka sketi ka titeee, halafu siku hizi hakuna kufunga vilemba, huyu dada aliniacha hoi japo mume alifariki ghafla kwa ajali but nadhani alikuwa anachunga sana make up yake, hata chozi sikuliona, sikuwahi kuona padri anaomba mke wa marehemu aje aage mara ya mwisho ili mwili ufunikwe, lakini mke mkavuuuu, sijui zile make up za wapi walimpaka mwenzao akawa busy kuichunga isiharibike kiasi kile, looo
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni, yaani hana hata uchungu kuwa kaka yake kaondoka, na kama kaacha watoto ni jukumu lake,je wakati yuko hapo saloon, mama yake alikuwa na nani? Eeeeeeh MUNGU UTUHURUMIE SISI WAJA WAKO, NA UTUSAMEHE MAANA HATUJUI TULITENDALO.Lisa,
huyu sikukutana naye msibani, ilikuwa salon....
kuna mdada alimwuliza uhusiano na marehemu akasema ni kakake kabisa wamezaliwa pamoja na hata baadhi ya simu alizokuwa anaendelea kupiga na kupokea kuhusu msiba zilikuwa zinaeleza kabisa ukaribu wake na marehemu
Siku hizi msiba ni show tupu my dear. Hawakuongelea mwenye saluni akawapake makeup ama maznat alishawahi tenda?
Ningekuwa mie ndo wewe mbona ningechomekea tenda ya sare!
ha haaa, tit for tat....umeona eeh,
wachagga hasa hawa wamama kwenye misiba wamekuwa hope less kabisa
they don't care
sijajua ni nini kimewapata hawa watu,
kwenda salon wakati maiti iko moshwari ni tabia yao siku hizi
ngoja na wao wakifa tutafanya hivyo hivyo kudadadeeeki.
hayo ya miwani mwenzangu nayaona makaburini huko......
mi nadhaniaga labda sababu hao sio wafiwa saaana kwa hiyo wanakuja ku-show off tu...
sasa huyu mwenye kaka yake!:nono:
hata kama hajaacha watoto, au kawaacha na mali zao, tunacholilia ni kuondokewa na huyu ndugu.....Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni, yaani hana hata uchungu kuwa kaka yake kaondoka, na kama kaacha watoto ni jukumu lake,je wakati yuko hapo saloon, mama yake alikuwa na nani? Eeeeeeh MUNGU UTUHURUMIE SISI WAJA WAKO, NA UTUSAMEHE MAANA HATUJUI TULITENDALO.
ha haaa, tit for tat....
wanajua nao wakidedi mtaenda kujipara, lol!
ila tuache utani, kweli upendo baina ya ndugu unapungua saanaa
We kweli ni wakunyumba,Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate....
wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa kucha, kope, nyusi, n.k.
mara simu ya mrembo ikaita, maongezi yakaanza..... "yaani we acha tu, ndo mambo ya dunia lakini, Tunamshukuru Mungu..... asante sana....
tunaaga kesho mchana na safari ya kwenda Moshi kwa mazishi itaanza baada ya kuaga, kweli tutammiss sana kaka yetu....."
baada ya hapo maongezi yakawa yanaendelea akawa anasimulia kuwa kakake kabisa kafariki, kaumwa siku 2 tu kafa.....
sijui ndo ukijijini au ushamba wangu! kweli nilisikitika sana.....
sipati picha kakangu anafariki, mimi naweza kuwa na nguvu kwenda salon kujipiga msasa ili niende kuzika kakangu au ndugu yangu wa karibu.
Nikajiuliza mambo mengi sana.
1) ni kwamba watu siku hizi wamezoea sana misiba kiasi kwamba wanaona ni kitu cha ajabu tu kufiwa?
2) watu hatuna uchungu tena na ndugu zetu?
3) u-kisasa unatufanya tuwe hivyo?
kweli mahusiano na ndugu/jamaa/marafiki yamepungua kiasi hiki mpaka tunachukulia misiba ya ndugu zetu kirahisi namna hii?
naomba sana hilo pepo lisiniingie.......heee, my dear, misiba ya sasa mbona wafiwa ndio wanaongoza kuvaa hayo mamiwani, mfiwa unaona tu anafuta shavu badala ya chozi, mie sasa hivi misiba ninayoenda naona kila kituko cha mjini, tena ubahatike kwenda siku za kazi lunch time, wadada wametumia muda wa lunch kwenda msibani mbona utapepesa macho mpaka ukome mwenyewe?
looo, kuna mmoja nilienda moshi, mkaka wa TRA, mke alituvalia mchuchumio na mbano, ka sketi ka titeee, halafu siku hizi hakuna kufunga vilemba, huyu dada aliniacha hoi japo mume alifariki ghafla kwa ajali but nadhani alikuwa anachunga sana make up yake, hata chozi sikuliona, sikuwahi kuona padri anaomba mke wa marehemu aje aage mara ya mwisho ili mwili ufunikwe, lakini mke mkavuuuu, sijui zile make up za wapi walimpaka mwenzao akawa busy kuichunga isiharibike kiasi kile, looo
shosti kweli mwenzio wabush....We kweli ni wakunyumba,
Hivi kweli mtu akifa ndio tusipendeze?
Hebu tupishe sie tukauze sura, kwani hujui kwenye misiba ndio tunaweza kufanya hata networking kwa mambo ya biashara na uchumba, bila kusahau kuchuna mabuzi, we vipii Khaaaaa!!!
ha haaa, lol!hapo wao tayari wana t-shirts zao zenye pic ya marehemu, mama anatakiwa avae lace matata, kazi ipo!
Nyamayao mambo mengine ni aibu hata kuyaona kwa macho yetu ya nyama
pia nahisi hawa wamama wanakuwa na lao jambo,
kuna kitu wanachofurahia zaidi ya uchungu wa kufiwa na mume,
na hawa wanaume nao wawe attention sana hasa wanapofikia kupata pata pesa,
mmoja wa huko nyanda za juu kusini naye wakati mumewe yuko kwenye hatua za mwisho mwisho kwenye hosp moja hapa bongo, akamwita house g akamwambia akanunue kabisa kanga sare ya kutotosha wamama wote tuliyopo pale home,
huyo shosti yeye na simu tu, anasema sijui anasubiri nini,
kweli kaka wa watu alitwaliwa katika maisha haya lakini aliacha mali kibao,
mama anatanua na wengine.
Baba yangu ana watoto 6,kila mtoto ana mama yake.
Nyamayao mambo mengine ni aibu hata kuyaona kwa macho yetu ya nyama
pia nahisi hawa wamama wanakuwa na lao jambo,
kuna kitu wanachofurahia zaidi ya uchungu wa kufiwa na mume,
na hawa wanaume nao wawe attention sana hasa wanapofikia kupata pata pesa,
mmoja wa huko nyanda za juu kusini naye wakati mumewe yuko kwenye hatua za mwisho mwisho kwenye hosp moja hapa bongo, akamwita house g akamwambia akanunue kabisa kanga sare ya kutotosha wamama wote tuliyopo pale home,
huyo shosti yeye na simu tu, anasema sijui anasubiri nini,
kweli kaka wa watu alitwaliwa katika maisha haya lakini aliacha mali kibao,
mama anatanua na wengine.