Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
umeona eeeh!
nilipopigiwa simu baba amefariki nilikuwa ofisini....... bahati nzuri nilikuwa na mkaka mmoja hivi.......
yeye ndo alikumbuka kuzima laptop yangu na kunibebea handbag kunirudisha home maana naona alihisi drama inaweza tokea...... nilichokuwa nawaza ni ntafikaje huko muda huo huo, angalau kuwa pamoja na mama na wadogo zangu tukilia pamoja kutanipa faraja........ hapo unafikiri kuna kuwaza kama nina mtoto? nilikumbuka baadae dada aliponiletea nimnyonyeshe, lol! nini kukumbuka kujipamba
yaani siku hizi mtu anatafuta swaga za kulia msibani, ushaona mtu analia huku amesmile weye? mambo ya kulia huku unajigalagaza hakuna tena.