mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
kuna vitu ni muhimu sana vikupite.....
siyo kila kitu cha kuigwa.....
yaani hapa hata afe babu yangu sidhani kama naweza kwenda kusuka, kama limenikuta na mabutu basi ndo nitazika nayo
Haswaaaaaaaaa!
kuna vitu ni muhimu sana vikupite.....
siyo kila kitu cha kuigwa.....
yaani hapa hata afe babu yangu sidhani kama naweza kwenda kusuka, kama limenikuta na mabutu basi ndo nitazika nayo
sikutegemea hili jibu....Alikuwa hapatani na wifi yake, sasa kafurahia yaliyomkuta wifi yake.Anasubiri aone wifi yake alivyokuwa na maringo atajivunia nini baada ya hapo.Women bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ha haaa, hiyo kiboko.... mujini mipango, lol!Tena unaenda kununua kanga zenye maneno haya "DAIMA TUTAKUKUMBUKA" Kisha unaibuka nazo msibani ukidai ndio sare, unanunua kwa Tsh. 3,000/- then unauza kwa Tsh. 5,000/- Imagine umenunua piece 50 utakuwa na faida ya Tsh. ngapi hapooo????????
ha haaa hiyo kali.....Kwa Wachaga siwezi kukataa.Nakumbuka siku moja tukiwa tunatoka mochwari ya KCMC jamaa mmoja wa marehemu alituzuia tusiweke jeneza kwenye Toyota Pick up, Tusubiri alete meza kubwa, then tuifunike na kitambaa, then Jeneza ndiyo liwekwe kwa juu.
Nikamuuliza kwanini tufanye hivyo, akanijibu "ili yule anaye record VIDEO aweze kuchukua picha nzuri kabisa".Strange!!!!!!!!!!
Marehemu alikuwa ni mtu mwenye pesa nyingi, hata jeneza lake lilinunuliwa Nairobi badala kuchukua yale ya pale karibu na KCMC.
Na kwenye mazishi every one was happy, except his wife and Children.
Ungeongea naye muda mrefu ungepata sababu ya furaha yake.Na sio ajabu angetoa sababu ambayo ingekufanya utamani kumkimbiasikutegemea hili jibu....
yaani sababu sipatani na wifi yangu ndo sina uchungu kakangu kufa? who is wifi anyway...... leo anaweza akawa na kaka kesho asiwe naye, lakini my kaka atabaki kuwa pale
watu huwa tunalia sababu tunajua huo ndo mwisho wa kuonana naye, yaani kitendo tu cha kuwaza kuwa huyu mtu ndo sitamwona tena hali inakuwa mbaya....Misiba siku hizi imegeuka kuwa sherehe wala usishangae tena "tena utasikia hii ndio sherehe ya mwisho ya marehemu" jamani wee kwani alipokuwa hai huyo marehemu hakuwahi kufanyiwa sherehe?? kha! tumrudie mungu jamani.
Sio kanga tu.siku hizi tunapewa T-shirt zenye Picha ya marehemu kwa shs.10,000.Sijui baada ya mazishi zinapelekwa wapi. sijaona anayezivaa mjini.ha haaa, hiyo kiboko.... mujini mipango, lol!
sikuweza hata kumwuliza swali moja......Ungeongea naye muda mrefu ungepata sababu ya furaha yake.Na sio ajabu angetoa sababu ambayo ingekufanya utamani kumkimbia
kuna mdada wangu wa kazi niliamua kumpeleka sekondari, huko kuna rafiki yao alifariki, basi wakajinunulisha hizo tisheti za "tutakukumbuka fulani........". mi naona huwa anaivaa pale home ila sijawahi ona akitokea nayoSio kanga tu.siku hizi tunapewa T-shirt zenye Picha ya marehemu kwa shs.10,000.Sijui baada ya mazishi zinapelekwa wapi. sijaona anayezivaa mjini.
namjua sana hata binti yake alihojiwa..pale walilipia na airtime si mangi yulee alikufa ghafla?ha haaa, kuna siku dada mmoja aliyekuwa mke wa tajiri mmoja alikufaga niliona akihojiwa kwenye tv kuhusu mumewe, atamkumbuka kwa yapi.....
Hapo mwili wa mumewe bado haujazikwa, watu wapo nyumbani kwa maombolezo......
Mdada (mjane) kajipodoa balaa, ndo anaongea kwa kweli i will miss him, he was a lovely husband......... Bado kidogo nizimie, lol!
ha haaa, best usinitafutie kesi, lol!namjua sana hata binti yake alihojiwa..pale walilipia na airtime si mangi yulee alikufa ghafla?
siyo kwenu tu, hata kwetu.....Heri sisi kijijini mtu akifa ni gubigubi khanga kichwani hata kuona macho ni shughuli sembuse nywele za saloon thubutu...ni kwetu tu lakini kwikwikwi!!!!!!.
Wewe kweli babu! Bajeti ya msiba ya milioni 10 ilikuwa miaka 3 ama 4 nyuma. Sasa tunaongelea mil 15 baba. Na familia ina minimum contribution!
wanamega billioni moja katika mabillion yake
wanamega billioni moja katika mabillion yake
kuna sehemu pia nimesoma kuwa mabilionea wenzie wamechanga.......Thubutuuu....msiba wa bilioni????Yethuuuuuuu........:tape2:
umeona eeeh!yaani kama msiba ni wa ndugu wa mbali lazma utakumbuka kujiremba ila wakwako si ajabu hata kuoga ukasahau.