KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mba-ueleweshwe-umekurupuka-3.html#post6137174ndo shangaa na kope zinakaa, lol!
Nimecheka sana nawewe cheka hapa nime ku quote imekataa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mba-ueleweshwe-umekurupuka-3.html#post6137174ndo shangaa na kope zinakaa, lol!
umerudi kitaa??kwi kwi kwi walitoka hadi na mamatron sio?
siju kwa nini huwa inasumbua kuniquote!https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mba-ueleweshwe-umekurupuka-3.html#post6137174
Nimecheka sana nawewe cheka hapa nime ku quote imekataa
saa nyingine inakubali!uliza kwa modssiju kwa nini huwa inasumbua kuniquote!
thanx
kwi kwi kwi walitoka hadi na mamatron sio?
si utaje hayo makabila bwanaaa WACHAGA NA WAHAYAYaani misiba ya siku hizi wengine wanaenda kuuza sura,kupata wachumba na mengineyo
Sidhani kama unauchungu na ndugu yako bado unapata nguvu ya kuingia saloon
Ooh my god inachosha sana mambo ya kizazi hiki
ukute ni mume kafa unakuta mama kashonea bonge la weaving hadi kope kabandika jamani..eti mahawara wa mume wa mkomeyaani misiba ya siku hizi wengine wanaenda kuuza sura,kupata wachumba na mengineyo
sidhani kama unauchungu na ndugu yako bado unapata nguvu ya kuingia saloon
ooh my god inachosha sana mambo ya kizazi hiki
ukute ni mume kafa unakuta mama kashonea bonge la weaving hadi kope kabandika jamani..eti mahawara wa mume wa mkome
kuna vitu ni muhimu sana vikupite.....We acha tu! Ila baada ya kuhudhurua misiba mbalimbali nikaja kujua imekuwa kama utamaduni kwa kabila flani kuendesha misiba kizungu zaidi. Pamoja na hayo huo uzungu umenipita mbali.
bora ambao siyo wahusika utasema wanaenda kutafuta wachumba, lol!Yaani misiba ya siku hizi wengine wanaenda kuuza sura,kupata wachumba na mengineyo
Sidhani kama unauchungu na ndugu yako bado unapata nguvu ya kuingia saloon
Ooh my god inachosha sana mambo ya kizazi hiki
ha haaa, kuna siku dada mmoja aliyekuwa mke wa tajiri mmoja alikufaga niliona akihojiwa kwenye tv kuhusu mumewe, atamkumbuka kwa yapi.....ukute ni mume kafa unakuta mama kashonea bonge la weaving hadi kope kabandika jamani..eti mahawara wa mume wa mkome
nakubaliana na wewe rafikiNaona siku hizi hakuna upendo
Kama maandiko matakatifu yanavyosema
"siku za mwisho upendo wa wengi utakoma"
Alikuwa hapatani na wifi yake, sasa kafurahia yaliyomkuta wifi yake.Anasubiri aone wifi yake alivyokuwa na maringo atajivunia nini baada ya hapo.Women bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate....
wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa kucha, kope, nyusi, n.k.
mara simu ya mrembo ikaita, maongezi yakaanza..... "yaani we acha tu, ndo mambo ya dunia lakini, Tunamshukuru Mungu..... asante sana....
tunaaga kesho mchana na safari ya kwenda Moshi kwa mazishi itaanza baada ya kuaga, kweli tutammiss sana kaka yetu....."
baada ya hapo maongezi yakawa yanaendelea akawa anasimulia kuwa kakake kabisa kafariki, kaumwa siku 2 tu kafa.....
sijui ndo ukijijini au ushamba wangu! kweli nilisikitika sana.....
sipati picha kakangu anafariki, mimi naweza kuwa na nguvu kwenda salon kujipiga msasa ili niende kuzika kakangu au ndugu yangu wa karibu.
Nikajiuliza mambo mengi sana.
1) ni kwamba watu siku hizi wamezoea sana misiba kiasi kwamba wanaona ni kitu cha ajabu tu kufiwa?
2) watu hatuna uchungu tena na ndugu zetu?
3) u-kisasa unatufanya tuwe hivyo?
kweli mahusiano na ndugu/jamaa/marafiki yamepungua kiasi hiki mpaka tunachukulia misiba ya ndugu zetu kirahisi namna hii?
ha haaa, cc. King'asti.....
best itabidi unifunze ujasiriamali huu
Kwa Wachaga siwezi kukataa.Nakumbuka siku moja tukiwa tunatoka mochwari ya KCMC jamaa mmoja wa marehemu alituzuia tusiweke jeneza kwenye Toyota Pick up, Tusubiri alete meza kubwa, then tuifunike na kitambaa, then Jeneza ndiyo liwekwe kwa juu.si utaje hayo makabila bwanaaa WACHAGA NA WAHAYA