Kama sielewi elewi vile!

Kama sielewi elewi vile!

huo utaratibu bado upo maeneo mengi vijijini isipokuwa maeneo ya wachaga walio wengi na wapare.
tunajuana uwezo wetu, na huwa tunasema msiba unapatikana popote basi ni kusaidiana...
wachaga nyie taifa jingine, lol!
 
..wachaga wana roho chafu kwenye misiba sijawai ona..wanabaguana balaa ..yaani wee acha tu washambaa....akifa mwenye hela mmmh ngoja nilale kova anasinzia hapa
 
Tatizo ni kujifanya tunajua kumbe hatujui, tunapoelimishwa tunajifanya wajuaji kumbe mambumbu tu,tunakosea nakupotea kabisa, Tunavuna dhambi.TUMEKOSA MAARIFA na Roho Mtakatifu.
 
pole sana best.... ndo dunia hii....
ulale unono my dear
 
Tatizo ni kujifanya tunajua kumbe hatujui, tunapoelimishwa tunajifanya wajuaji kumbe mambumbu tu,tunakosea nakupotea kabisa, Tunavuna dhambi.TUMEKOSA MAARIFA na Roho Mtakatifu.
roho mtakatifu gani mkuu mtu unajiita chuki;ukristo ni upendo daima
 
Mie niliwahi kuhudhuria msiba wa baba wa classmate wangu wa O-Level. Wakati naenda nakawa nawaza na kumhurumia rafiki kuwa atakuwa na hali mbaya kwa huzuni. Tulipofika hatukuwakuta wadada wafiwa tukaambiwa wameenda kujiandaa kabla ya kuanza misa na kuaga. Baada ya muda classmate na dada zake hao! Nilishangaa sana kuona wadada walivyopendeza, wameset nywele zao kana kwamba wako harusini/kitchen party! Wamepaka na poda! Kweli hata mie sikutoa hata chozi japo niliwaona mashangazi wanavyomlilia kaka yao! Tulizikia hapo hapo shambani/nyumbani.

Mpaka leo huwa bado najiuliza watu wanawezaje kujiremba ilihali wamefiwa na wapendwa wao. Ugumu huo nimeuona zaidi baada ya baba yangu kufariki na jitihada za kukubaliana na hali ya kutokuwepo kwake!
 
kwi kwi kwi walitoka hadi na mamatron sio?

wewe.... sisi wenyewe tulipofiwa na baba, hapo hapo dar tulikuwa kama tumetoka mtyangimbole.........
na ni mwaka 2007 tu wala siyo mbali
mpaka leo nikikumbuka ile siku sitamani hata kupaka wanja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom